balozi 1415
New Member
- Nov 22, 2014
- 3
- 2
Act ndio chama cha wazalendo na bado mtasema sana
Wasubiri uchaguzi mbona wanajihami mapema
Act ndio chama cha wazalendo na bado mtasema sana
Kamwe hamtobadilisha mawazo yetu sisi tunaojiandaa kujiunga na chama cha kizalendo kwa vijisiasa vyenu vya majitaka.Zitto ni kijana makini na tumekunywa yamini yakuendelea kumwamini mpaka atakapoamua kuacha siasa au kifo.
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Katiba lazima ipite hata kwa kipigo
Mwisho wa cku mtauliza mpk chupi wanazovaa wamepata wapi pesa.
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Kwanb unalazimisha watu kuamini fikra zako? Zipo njia nyingi sana za kupata hizo promo, sio ww wala mimi tulioshiriki wakat wa mazungumzo kt ya ACT na Star TV...
Naona una hofu. Jaribu ku relax.
Sina hofu yoyote kujina nimehoji naona unaharaaaaaaa!! Ebu tulia huu utapeli na ujambazi lazima tuukomeshe!
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Sina hakika umesoma mpaka level gani, ila nadiriki kisema Wewe ni Mjinga, Kwa Msomi yeyote naamin lazima ajiheshumu...
Lugha yako inaonyesha huna Ustaarabu. Kwanza Staarabika kisha ndio uje ulete maoni yako humu.
Stupid.
mpango Wa ccm kugawa kura za upinzani
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Pwahahaha.....akili za kamasi utazijuwa tu,nilianza kujuwa tu wewe na peter Mzirai mtakuwa ndugu tu
Sasa matusi ya nini kijana jenga hoja na kama huna "Kimya
siku hizi na wewe umekuwa mtabiri lakini jiandae kurudi kwenu burundi utawala wa CHADEMA unaingia ikulu mwaka huu na sisi hatutaki wakimbizi vibaka kama wewe.