voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,552
- 11,893
Koote! CCM!,CDM,NCCR,ACT..
Kukomoana,Kuviziana,Kuhujumiana nk!
Imekuwa ndio Fasheni Mpya ya siasa!
Wamewasahau kuwapigania wapiga "KURA",sasa Wanapigania "KULA" zao binafsi!
Kwa mfano hai!
Minyukano na Rushwa ya wazi inayofanyika kwenye
Uchaguzi wao ndani CCM.
Unaitesa na kuiacha CCM ikiwa imegawanyika Makundi Makundi.
Vigogo wa Zamani Dhidi ya Walioingizwa na Magufuli (R.I.P).
Na hiyo ndio Sumu inayoitafuna CCM taratibu.Wala wapinzani wasihangaike na CCM kwa sasa!
Bali wapinzani wangekuwa Makini,wangeacha kuicheza miziki ya CCM kwa sasa!
Badala ya wao wapinzani kugeuka sehemu ya kundi mojawapo la CCM.kwa kulisaidia kundi moja la CCM bila kujua.
Na kupambana dhidi ya kundi lingine la CCM Mpya ya JPM.
Wapinzani wangejikita kuvijenga vyama vyao na kutoa Elimu zaidi kwa Raia,kuhusu maovu mengi yanayoendelea kwa sasa kimya kimya!
Maana CCM wao kwa wao,wanawasaidia wapinzani kuiua CCM yao wenyewe.kisa ni Uroho wa nani akafaidi zaidi.
Sasa hivi kina "Baba-Revo" na "Mwijaku"wamezaliwa wengi sana kwenye Siasa!
Tulizowea kuwaona kwenye Bongo Movies,lakini ghafla CCM imefyatua Chawa wa Kutosha Matumizi yake!
Baada ya kujifunza na kuiona Faida yao kina Mwijaku!
Kwenye Promo ya uzinduzi wa "Royal Tour"
kule Arusha,wameona kumbe Chawa nao ni Muhimu kuwa Sambamba na Uvi-WaviCCM.
Cha kusikitisha sasa!....
Upinzani nao umegeuka sehemu ya Mnyukano kama wa CCM.
Wa Chadema wamenasa mtego wa CCM vigogo wa zamani.
Wamekalia kugombana na Magufuli(R.I.P). Pamoja Zitto Kabwe.Pamoja na Wale wakinamama 19.
CCM wakitoa Album,mteja wa kwanza kuinunua na kuicheza ni Chadema-Pro!
Wakati huo huo Chadema imeingia Mwaka wa Pili mfululizo ikitumia muda mwingi na nguvu kubwa,kwa gharama kubwa,dhidi wale kina Mama 19 wa Ubonge wa vitu Maalumu!
Nguvu ambazo wangezitumia kujiimarisha zaidi huko mashinani,zinaishia huko Mahakamani!
Kule ACT nako mambo ni hayo hayo,kwa ajili ya Udini wa
Zoote - Kaba!
Kwa sababu Zoote-Kaba ni mzee wa fursa,ameamua kurudia maisha ya Enzi zake na Kaa-kwata! wa Msoga.
Zoote-Kaba amegeuka mpiga Zomari wa pembeni kumsaidia Malkia wa Nyuki.
Anauma na Kuwakunbusha Buyu lake linapokuwa Empty!
Na wakisha mjazia Buyu lake,
Anageuka na kupuliza Zomari la Mapambio taratibu!
Kule NCCR kwa James-kumbatia! Na Anthoni-komoa wake!
Wanagombea Chama,Dhidi ya Joseph-Sera-Zini!
Ambae amepata Support ya Meseji-ill!...0Wa vyama nchini.
Kisa Ku-mbatia ameacha kui-kumbatia CCM ya Malkia kama ilivyokuwa mkataba wa awali.
Tena eti alimuita Malkia Dada badala ya Mama!
Kwenye Media Press nako Asali ya Uteuzi imewalevya Macho wanahabari!
Wanauona Uteuzi kuliko Matukio na Habari Contents!
Kila mmoja anaota kuwa DC au RC mtarajiwa!
Na Press zingine kama ile ya Said Ku-bania,Yeye yuko akilisaidia kundi moja la CCM dhidi ya lile la JPM.
Ku-bania binafsi anatumia gazeti lake "Rai-Ua Mwema",
Kupambana na wale anaoamini walihusika kule Namanga Border!
Kwa Kumpora zile Pesa.
Alizokuwa amepewa kule Kenya ili kuja kuzitumia kwa Malengo yake ayajuayo binafsi.kwenye Uchaguzi wa 2020.
Mpaka leo anapambana na Asiyemjua!
Nadhani Dkt Bashiru!
amekuja kuugeuza Mvumo wa Upepo kwenye Siasa za Ki-tanzi-near!
Alamsikhi kwa Sasa!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!
View attachment 2426883View attachment 2426884