ACP Hemed Msangi...

Sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.

Wafanyakazi wa serekali kibao, madokta, madkta. Kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.

Waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi? Mnaona wachina?

Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa. Low production.na serekali dhaifu atutaki. Tunataka madikteta, sha choka na lawama za kijinga!

Nilipoisoma post yako nikawaza kukutukana, nikaona nitajidhalilisha bure....!
Uwezo wa akili yako, kwa tafsiri ya ulichopost ni tusi tosha kwa yeyote awaye! R.I.P manushichini
Umeingiza mambo ya CDM hapo?! umeingiza mambo ya walimu?! umeongea freemasons?! umeongelea wachina?!
Hivi unadhani ni akili ya kawaida hiyo?!

 
Mkuu G. Activist Uko sahihi kabisa niliposikia jina la ACP Msangi na kauli ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Liwalo na liwe nikajua yale yale ya Marehemu Dr Ouko na Mzee Moi.

yeah huyu bwana msangi ni mtu hatari sana
i know this creature!!but wait and see soon he will be revealed
 
Wakuu kuna ACP Salum Msangi (RPC) Mkoa mpy Ssimiyu na ACP Hemedi Msangi wa kitengo cha Upelelezi makao makuu ya Polisi hivyo msiwachanganye
Nadhani wewe uko sahihi kabisa. Hemedi Msangi ndo aliwahi kupita kituo cha polisi usa River, then Morogoro.
 
kwenye picha hii hapa piga ua ni dhuluma tupu , afande Christopher wa Centre awezi kukosa maana ndiye mwenye kitengo cha gsm track ya kujua huko wapi.
 
Mwanaharakati huru, hivi huyo jamaa anaitwa Salim Msangi au ni Ahmed Msangi anayeonekana hapo chini?
_MG_9760.JPG


_MG_9765.JPG

Ozzie, ww ni kiboko. huyo ndo mwenyewe haswa Hemedi Msangi.
 
Wangapi tunamtambua huyu kijana mwenye shati ya pumndamlia huyu aliyesima kwenye picha ya hapo juu??????????????

_MG_9760.JPG


_MG_9765.JPG
 
ACP Msangi Kama hili linakuhusu na mavumbi utarudi kama siyo leo hata kesho lakini utaishi milele!
 
Huyo ACP Msangi ni jamaa hatari sana. Anafahamika kwa mambo ya kishenzi shenzi. Katika gheto yake moja wakati fulani alikuwa kaweka TV mbili na zote anaziwasha kwa mpigo, then bangi nyingi na mademu wale wenye sura zilizochubuliwa kaa Tko la nyani. Na tungoje tuone Pinda atapindishaje na hili.
 
Wangapi tunamtambua huyu kijana mwenye shati ya pumndamlia huyu aliyesima kwenye picha ya hapo juu??????????????

_MG_9760.JPG


_MG_9765.JPG

HAKIKA HUYU NDIE ACP Msangi, Mpare, baba yake alikuwa RPC miaka ya nyuma. Amefanya kazi Arusha, USA River, Morogoro na Sasa DSM. Ni mshenzi na ni mnyama kweli kweli. Uliza sehemu alizopita ni wanaume wangapi walibaki hanith baada ya yeye kuwaharibu nyeti zao kwa mateso.
 
Mkuu kanga

Asante kwa ufafanuzi mzuri sana nadhani MODS wanaweza kusaidia kubadili heading isomeke ACP HEMED MSANGI badala ya ACP SALIM MSANGI.Baba yao alifariki kati ya mwaka 2004 - 2006 nilihudhuria mazishi yake ofisi niliyokuwa nafanyia kazi ilinituma kama mwakilishi.ACP Hemed Msangi ana mazuri yake pia nakumbuka siku ya msiba nilikaa sehemu mmoja na mwakilishi wa AUWASA Mamlaka ya maji safi na maji taka Arusha aliniambia walikuja kwenye msiba kwasababu ACP Hemed Msangi aliwasaidia kuwadhibiti waMeru waliokuwa na mpango wa kuzuia maji ya mto nduruma yasipelekwe Jijini Arusha.ACP H Msangi aliwashughulikia waMeru mpaka mradi ukakamilika kwa wakati.Hii story ukiwauliza wafanyakazi wa wote AUWASA wanamjua ACP H Msangi.


HEMEDI Msangi na Salum Msangi wote ni ndg watoto wa Rpc Msangi mstaafu nafikri ni marehemu kama sikosei ndiye mhusika nimefanya kazi naye wakati huo nimeajiriwa jeshi la polisi kabla ya kuacha.Salum Msangi yeye alifanya kazi muda mrefu pale CCP Moshi.

Hemedi Msangi amekuwa ndiye Zonal RCO- Dar es salaam na kabla ya hapo amefanya kazi Morogoro na Arusha kituo cha USA-Arumeru kitengo cha upelelezi.

Kumbukeni wakti Mererani ndiyo ilikuwa inatema fedha na uhalifu ulikuwa mkubwa na alishiriki kwa hali zote kuua wahalifu sugu au kusingiziwa kesi .polisi kutoa kidhibiti hewa kama bunduki,risasi,na vyote vya hatari ni kitu cha kawaida ili kukamata attention ya wananchi.

Si mnakumbuka IGP MAHITA ALIWAHI KUONYESHA MAJAMBIA NA VISU KUWA NI MALI ZA CHAMA CHA CUF KWA AJILI YA UCHAGUZI 2005.?.POLISI NI HATARI NA KAMA KUTAKUWA NA MAHAKAMA ZA UCHUNGUZI ZA VIFO VYA RAIA MAPOLISI WENGI WATAFUNGWA NA WENGI KUACHA KAZI.
 
Muda mchache uliopita nimepokea ujumbe huu katika simu,

"Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dr Ulimboka yupo katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dr Ulimboka. Alipofika kumuhoji Dr Ulimboka alimwambia 'Nirudishie simu na waleti yangu'. Kamanda Msangi taratibu akatoka wodini kichwa chini. Kama wewe ni mpenda haki na unapinga ujinga na dhuluma watumie ujumbe huu watu wengi kadri uwezavyo ili wamjue dhalimu aliyeoongoza unyama huu:"

wakuu napenda kujua undani wa huyu kamanda!
Je kuna ukweli wowote wa haya yasemwayo?
 
Back
Top Bottom