ACP Hemed Msangi...

Mkuu G. Activist Uko sahihi kabisa niliposikia jina la ACP Msangi na kauli ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Liwalo na liwe nikajua yale yale ya Marehemu Dr Ouko na Mzee Moi.

Ufafanuzi zaidi!! Kuhusika kwa Wasira hapo Juu sina uhakika!! Lakini Msangi yupo katika Jopo la Uchunguzi wa tukio zima la kutekwa kwa Dr Ulimboka!! Inasemekana alipofika kwa Ulimboka Hospital Ulimboka alipomtazama Msangi akamgundua akamwambia nipatie simu yangu na Wallet yangu!!!! Hii inadhihilisha Kamanda Msangi kahusika tukio zima, halafu yeyemwenyewe anapewa Jukumu la kupeleleza!!!! Nimemsaidia MwanaharakatiHuru kufunguka.
 
Last edited by a moderator:
KIBE unawahukumu madaktari kana kwamba wanachodai ni pesa peke yake. Je, unayajua madai yao yote? Mojawapo ya madai yao ni kuwapo kwa vifaa tiba na madawa kwenye hospitali, pamoja na vitanda vya kutosha na nyenzo nyingine muhimu. Hapo wanadai pesa kwa ajili yao? Kama umesahau, kuna daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke alinukuliwa na vyombo vya habari kwamba alilazimika kumwacha mgonjwa kwenye chumba cha upasuaji na kutoka nje kukimbilia hadi kwenye duka la dawa ambalo kulikuwa na kifaa tiba kilichogharimu SHILINGI ELFU MOJA TU! Alitumia pesa yake mwenyewe kuokoa maisha ya mgonjwa. Labda wewe hujawahi kuumwa hadi kulazwa na kufanyiwa upasuaji. Waheshimu sana madaktari. Hakuna kazi ngumu kama ya kumtibu binadam, MUUJIZA wa Mwenyezi Mungu. KUJAFA HUJAUMBIKA KIBE!
Hivi kweli ni utu kumuacha mgonjwa afe ili udai vifaa vya kutibia mgonjwa huyohuyo anayekufa au hiki ni kiiini macho cha kudaia mafao.Haya sasa vitanda vimekua tupu huko hosp basi wakalale wao maana walikua wanavidai
 
Hili nalo neno namshangaa sana wengine tumeunganisha dot tumeshajua nini kinaendelea.

Kwa mwana mapinduzi wa dhati, kila neno ni taarifa. anzia hapo kufanya uchunguzi, na sio kulalamika tu. funguka ki akili, utapata habari kamili.
 
nchi zote zenye ustawi wa demokrasia zilipitia kwenye tanuru la moto na kukomaa.

mungu tunusuru katika tanuru letu tunalopitia ili hatma yake tuweze kuwa wamoja tena.
 
Kwa mwana mapinduzi wa dhati, kila neno ni taarifa. anzia hapo kufanya uchunguzi, na sio kulalamika tu. funguka ki akili, utapata habari kamili.

With time watu wenye welevu huwa wana comunicate kwa codes. Sasa sisi standard yetu ya kusoma na kuandika kiwango cha juu kaabisa tunataka kumfikia yule msomi mtangazaji wa radio yetu ile ya watu kama mimi na wewe ambaye huwa anaongea kama amemeza radio
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua
Kama mahojiano yenyewe ndiyo ya mtindo huu basi hakuna haja ya kukusubiri :A S shade:
 
ACP Msangi akiwa mkuu wa USA alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha RPC Ntobi kuhamishiwa mkoa wa Mara.
 
Sikujua mgogoro huu una UDINI pia! No wonder, Ukishasikia CDM na wanaojiita wanaharakati ujue UDINI in the house! Haya endeleeni na harakati zenu za kuchukua nchi!
 
Nawakumba sana marehemu wote mmoja wapo alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo akijulina Babuu mwingine mtoto wa Mzee Masumai mwingine kibosho akiitwa Joseph.Wote kwa pamoja walishikwa maeneo ya PPF wazima wa afya baadaye wazazi walipowafuatilia wakaambiwa wamepelekwa kituo cha polisi USA jioni tukapewa taarifa wameshafariki Arusha ikazizima kamanda Ntobi akakimbia wanahabari muda mfupi akahamishiwa mkoa wa Mara wakati huo ACP Msangi alikuwa askari wa cheo cha chini sana hakuguswa na zoezi la kuhamishwa.

ACP Msangi akiwa mkuu wa USA alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha RPC Ntobi kuhamishiwa mkoa wa Mara.
 
CCM na serikali yao wameumbukA KWEUPEee. Inshaallah munugu atuepushe ma mabalaa zaidi.:deadhorse:
 
Nawakumba sana marehemu wote mmoja wapo alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo akijulina Babuu mwingine mtoto wa Mzee Masumai mwingine kibosho akiitwa Joseph.Wote kwa pamoja walishikwa maeneo ya PPF wazima wa afya baadaye wazazi walipowafuatilia wakaambiwa wamepelekwa kituo cha polisi USA jioni tukapewa taarifa wameshafariki Arusha ikazizima kamanda Ntobi akakimbia wanahabari muda mfupi akahamishiwa mkoa wa Mara wakati huo ACP Msangi alikuwa askari wa cheo cha chini sana hakuguswa na zoezi la kuhamishwa.

Hapa mh inaashiria kuwa Tz ni zaidi ya tuijuavyo.mh!
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi?

Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.

Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua

Huyo Mokira ndiye aliyepewa kipigo cha mbwa pale Muhimbili?
 
Alafu tunaambiwa nae yupo kwenye kikosi cha kuchunguza walio mtesa Dr. Uli sijui mharifu huwa anajichunguza?
 
Back
Top Bottom