ACP Hemed Msangi...

hivi huyo mokira kwanini hakutangulizwa mbele za haki?? aaarrrggg! tumezidi upole sijui ndio uzalendo??

Tatizo ni watu wa Dar. Ingelikuwa huku makwetu leo watu wangekuwa wanaimba "Simbaliii Karibuuu tutafika na sisi hukooo"
 
Kwa mwana mapinduzi wa dhati, kila neno ni taarifa. anzia hapo kufanya uchunguzi, na sio kulalamika tu. funguka ki akili, utapata habari kamili.

tafadhali mwenye Picha ya Msangi tunaomba iwekwe tuweze mkumbuka vizuri, natanguliza shukrani
 
Wakuu kuna ACP Salum Msangi (RPC) Mkoa mpy Ssimiyu na ACP Hemedi Msangi wa kitengo cha Upelelezi makao makuu ya Polisi hivyo msiwachanganye
 
Wakuu kuna ACP Salum Msangi (RPC) Mkoa mpy Ssimiyu na ACP Hemedi Msangi wa kitengo cha Upelelezi makao makuu ya Polisi hivyo msiwachanganye

Hiyo ni title kubwa sana ndani ya jeshi la polisi. Msangi anaichezea!
 
Nawakumba sana marehemu wote mmoja wapo alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo akijulina Babuu mwingine mtoto wa Mzee Masumai mwingine kibosho akiitwa Joseph.Wote kwa pamoja walishikwa maeneo ya PPF wazima wa afya baadaye wazazi walipowafuatilia wakaambiwa wamepelekwa kituo cha polisi USA jioni tukapewa taarifa wameshafariki Arusha ikazizima kamanda Ntobi akakimbia wanahabari muda mfupi akahamishiwa mkoa wa Mara wakati huo ACP Msangi alikuwa askari wa cheo cha chini sana hakuguswa na zoezi la kuhamishwa.

Hapa inakuwaje sasa? Tunaingiza mafia system Tanzania. Hizi Mafia system zinakula kama ukimwi, hata viongozi wa nchi wataathirika, kuweni makini.
 
msangi acha ugomvi mrudishie brother uli mali zake,kama ulitumwa na haukufanya kazi vizuri imekula kwako.rudisha mali za bro wetu halafu usubirie ku RIP,maana waliokutuma hawatakuacha unattended!UGUA POLE BRO ULI!
 
Mkuu Mwanaharakatihuru hebu rekebisha hapo pasomeke Dr. Steven Ulimboka. Naona unampaisha Wassira wakati hata hana ubavu wa kupigania Taifa hili.
 
Last edited by a moderator:
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .

Mkuu marekebisho kidogo Msangi aliekuwepo usa river sio salim ni Ahmed.
 
HEMEDI Msangi na Salum Msangi wote ni ndg watoto wa Rpc Msangi mstaafu nafikri ni marehemu kama sikosei ndiye mhusika nimefanya kazi naye wakati huo nimeajiriwa jeshi la polisi kabla ya kuacha.Salum Msangi yeye alifanya kazi muda mrefu pale CCP Moshi.

Hemedi Msangi amekuwa ndiye Zonal RCO- Dar es salaam na kabla ya hapo amefanya kazi Morogoro na Arusha kituo cha USA-Arumeru kitengo cha upelelezi.

Kumbukeni wakti Mererani ndiyo ilikuwa inatema fedha na uhalifu ulikuwa mkubwa na alishiriki kwa hali zote kuua wahalifu sugu au kusingiziwa kesi .polisi kutoa kidhibiti hewa kama bunduki,risasi,na vyote vya hatari ni kitu cha kawaida ili kukamata attention ya wananchi.

Si mnakumbuka IGP MAHITA ALIWAHI KUONYESHA MAJAMBIA NA VISU KUWA NI MALI ZA CHAMA CHA CUF KWA AJILI YA UCHAGUZI 2005.?.POLISI NI HATARI NA KAMA KUTAKUWA NA MAHAKAMA ZA UCHUNGUZI ZA VIFO VYA RAIA MAPOLISI WENGI WATAFUNGWA NA WENGI KUACHA KAZI.
 
Sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.

Wafanyakazi wa serekali kibao, madokta, madkta. Kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.

Waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi? Mnaona wachina?

Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa. Low production.na serekali dhaifu atutaki. Tunataka madikteta, sha choka na lawama za kijinga!
 
sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.wafanyakazi wa serekali kibao.madokta,madkta.kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi?mnaona wachina?Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa.low production.na serekali dhaifu atutaki.tunataka madikteta,sha choka na lawama za kijinga!


Kama kuna mkalimani tafadhali atupe tafsiri ya hiki kilichoandikwa hapa.
 
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .

Picha yake iwekwe hadharani. Wengine tumeshatoka msituni sasa!
 
Ufafanuzi zaidi!! Kuhusika kwa Wasira hapo Juu sina uhakika!! Lakini Msangi yupo katika Jopo la Uchunguzi wa tukio zima la kutekwa kwa Dr Ulimboka!! Inasemekana alipofika kwa Ulimboka Hospital Ulimboka alipomtazama Msangi akamgundua akamwambia nipatie simu yangu na Wallet yangu!!!! Hii inadhihilisha Kamanda Msangi kahusika tukio zima, halafu yeyemwenyewe anapewa Jukumu la kupeleleza!!!! Nimemsaidia MwanaharakatiHuru kufunguka.

kwa jambo hili hatuna imani kabisa na serikali na jeshi la polisi.
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi?

Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.

Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua
Mwanaharakatihuru hivi huyo jamaa anaitwa Salim Msangi au ni Ahmed Msangi anayeonekana hapo chini?
_MG_9760.JPG


_MG_9765.JPG
 
Back
Top Bottom