ACP Hemed Msangi...

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Ulimboka ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu Salim kituo chako cha kazi ni wapi?

Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.

Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya.

WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake.

Kamwe ubaya haufichiki nawe Mokira Muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani?

Aluta continua
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua
Wewe nyosha maneno acha kukurupuka wewe Mwanaharakatihuru tazama hapo kwenye red
 
Last edited by a moderator:
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJ
.
Hapo juu kwenye red mkuu, inamaana Wassira naye ameshaukwaa uDr?.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
unapotosha umma tu wewe mzindaki mkubwa.. na tunamuombe huyo dr wenu apone mapema ili aje ahadithi machungu ya kifo ..kwani nyi si mnaona raha sisi ndugu zetu kufa kwa ajili ya fedha na uroho wenu usiokuwa na utu. na uache kueneza chuki kwa watanzania wenye hasira na nyinyi madaktari wapenda fedha ...
KIBE unawahukumu madaktari kana kwamba wanachodai ni pesa peke yake. Je, unayajua madai yao yote?

Mojawapo ya madai yao ni kuwapo kwa vifaa tiba na madawa kwenye hospitali, pamoja na vitanda vya kutosha na nyenzo nyingine muhimu.

Hapo wanadai pesa kwa ajili yao? Kama umesahau, kuna daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke alinukuliwa na vyombo vya habari kwamba alilazimika kumwacha mgonjwa kwenye chumba cha upasuaji na kutoka nje kukimbilia hadi kwenye duka la dawa ambalo kulikuwa na kifaa tiba kilichogharimu SHILINGI ELFU MOJA TU!

Alitumia pesa yake mwenyewe kuokoa maisha ya mgonjwa. Labda wewe hujawahi kuumwa hadi kulazwa na kufanyiwa upasuaji. Waheshimu sana madaktari. Hakuna kazi ngumu kama ya kumtibu binadam, MUUJIZA wa Mwenyezi Mungu.

KUJAFA HUJAUMBIKA KIBE!
 
unapotosha umma tu wewe mzindaki mkubwa.. na tunamuombe huyo dr wenu apone mapema ili aje ahadithi machungu ya kifo ..kwani nyi si mnaona raha sisi ndugu zetu kufa kwa ajili ya fedha na uroho wenu usiokuwa na utu. na uache kueneza chuki kwa watanzania wenye hasira na nyinyi madaktari wapenda fedha ...
KIBE unawahukumu madaktari kana kwamba wanachodai ni pesa peke yake. Je, unayajua madai yao yote? Mojawapo ya madai yao ni kuwapo kwa vifaa tiba na madawa kwenye hospitali, pamoja na vitanda vya kutosha na nyenzo nyingine muhimu. Hapo wanadai pesa kwa ajili yao?

Kama umesahau, kuna daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke alinukuliwa na vyombo vya habari kwamba alilazimika kumwacha mgonjwa kwenye chumba cha upasuaji na kutoka nje kukimbilia hadi kwenye duka la dawa ambalo kulikuwa na kifaa tiba kilichogharimu SHILINGI ELFU MOJA TU!

Alitumia pesa yake mwenyewe kuokoa maisha ya mgonjwa. Labda wewe hujawahi kuumwa hadi kulazwa na kufanyiwa upasuaji. Waheshimu sana madaktari. Hakuna kazi ngumu kama ya kumtibu binadam, MUUJIZA wa Mwenyezi Mungu. KUJAFA HUJAUMBIKA KIBE!
 
Msangi alikuwa Usa River Arusha kipindi chake ukisikia ndugu yako kapelekwa kituo cha Polisi Usa unaanza kuandaa taratibu za mazishi.ACP Msangi ni aina ya vijana waliopandishwa madaraja haraka haraka kwasababu Marehemu Baba yake Mzee Msangi alikuwa RPC katika mikoa mbali mbali kabla hajastaafu akahakikisha kijana wake anawekwa sehemu nzuri.

Sishangai sakata la Dr Ulimboka kuhusishwa na ACP Msangi hawa vijana hawako polisi kwaajili ya maslahi ya Tanzania bali wako kwaajili ya watawala wako tayari kufanya jambo lolote kwa maslahi ya watawala.

Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua

Mhhhh.....
 
Samora

Uliza mkaazi yoyote wa Arusha atakueleza kituo cha polisi Usa River kuanzia miaka ya 1990s - 2000s mziki wake ulikuwa mkubwa ndugu jamaa au rafiki akipelekwa huko akitoka mzima kama ni mwanaume alikuwa akiitwa mbuzi wa shughuli kutokana na aina ya mateso waliyokuwa wakiyapata.

Kuna uwezekano mkubwa ACP Msangi alikuwa mkuu wa hii operation toa uhai Dr Ulimboka [OTU].

Mkuu kwani hata Arusha kazi zake zilikua zipi? rumours has it that he iz used to dirty works
 
Ufafanuzi zaidi!! Kuhusika kwa Wasira hapo Juu sina uhakika!! Lakini Msangi yupo katika Jopo la Uchunguzi wa tukio zima la kutekwa kwa Dr Ulimboka!! Inasemekana alipofika kwa Ulimboka Hospital Ulimboka alipomtazama Msangi akamgundua akamwambia nipatie simu yangu na Wallet yangu!!!! Hii inadhihilisha Kamanda Msangi kahusika tukio zima, halafu yeyemwenyewe anapewa Jukumu la kupeleleza!!!! Nimemsaidia MwanaharakatiHuru kufunguka.
 
Back
Top Bottom