Mkuu HNIC hebu funguka tukuelewe vizuri. Hawakualikwa kwenda wapi na je, kama ni wake wa marais waliowahi kuongoza TZ na ZNZ, Mzee Aboud Jumbe anaingiaje kwenye orodha hii?. Tulia unyooshe mambo Mkuu. Naomba kuwasilisha.
Wamealikwa marais wa zamani wote wa Tanzania walio hai ambao ni Mwinyi na Mkapa, Mawaziri wakuu wote wa zamani walio hai ambao ni Msuya, Warioba, Malecela, Sumaye, Lowassa pia na Pinda Marais wote wa zamani Zanzibar ambao ni Salmin Amour, na Amman Karume pia wake za waasisi wa Muungano mama Maria Nyerere na Mama Karume hii ni katika hotuba atakayotoa Kikwete leo Bungeni kuhutubia bunge la katiba hao kawaalika kama wageni zake katika kuisindikiza hotuba sasa mdau anauliza mbona Jumbe hayupo naye alikuwa Rais wa Zanzibar? Pia mke wa Idrissa Wakili hajaalikwa kuwakilisha mmewe kama Mama Maria Nyerere na Mama Karume walivyowakilisha waume zao? Ndio swali

Hapa ni kwa sababu za kiafya hawa wanashauriwa kutosafiri kwa sasa waachwe wapumzike.
Source: Nyati
aMnataka mzee wa watu apelekwe kwenye machela? Mnaijua hali ya afya yake? Ni tukio gani mmemwona hadharani mara ya mwisho? Mkipata majibu ya haya basi mtajua kwa nini hakualikwa
Mnataka mzee wa watu apelekwe kwenye machela? Mnaijua hali ya afya yake? Ni tukio gani mmemwona hadharani mara ya mwisho? Mkipata majibu ya haya basi mtajua kwa nini hakualikwa
Hapa ni kwa sababu za kiafya hawa wanashauriwa kutosafiri kwa sasa waachwe wapumzike.
Source: Nyati
Ukishauriwa kutosafiri safiri siyo lazima uwe unaumwa. mimi siyo daktari wao bali info ni sahihi kabisaaliyekwambia wanaumwa ni nani??? au ww ndio dokta wao??
a
Huyu Mzee Jumbe hata alipokuwa na afya njema CCM walimtenga kwasababu tu alitaka serikali tatu bravo Jumbe katika viongozi wa Zanzibar huyu alikuwa poa kuliko wote
hii habari sio sawa.Hapana hakutaka serikali Tatu, bali ni masariti pia ni mchonganishi, alienda UK aka print hela za Zanzibar, bendera nk, kisha akamwambia waziri mkuu wa UK kipindi kile Kuwa Bara wanampango wa kuivamia Zanzibar, aliporudi huku, akamwambia Nyerere Kuwa kuna kundi la wanajeshi wa nje wamepanga kuivamia Zanzibar kwahiyo anaomba ulinzi, ndiyo Nyerere alipeleka wanajeshi kwa wingi na vifaru kuilinda Zanzibar, Jumbe akapiga simu UK tena kuwaambia Bara imeivamia Zanzibar kama alivyowaambia, baada ya mawasiriano kati ya Nyerere na PM wa UK ndiyo ikaonekana Jumbe mchonganishi, wakamuambia ajihuzuru kwa heshima yake, ila kwa Sasa afya yake siyo imara amezeeka sana, pia haoni.