Aboud Jumbe na Mke wa Idris Abdul Wakil hajaalikwa

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Habari ni kuwa wake wa marais waliowahi kuongoza TZ na ZNZ wamealikwa kesho na wamegharamiwa

lakini cha ajabu kwenye mwaliko huo hatokuwepo mke wa Marehem Idrissa Abdul Wakil na wala hatokuwepo Mzee Aboud Jumbe

kulikoni?
 
Mkuu HNIC hebu funguka tukuelewe vizuri. Hawakualikwa kwenda wapi na je, kama ni wake wa marais waliowahi kuongoza TZ na ZNZ, Mzee Aboud Jumbe anaingiaje kwenye orodha hii?. Tulia unyooshe mambo Mkuu. Naomba kuwasilisha.
 
Wamealikwa marais wa zamani wote wa Tanzania walio hai ambao ni Mwinyi na Mkapa, Mawaziri wakuu wote wa zamani walio hai ambao ni Msuya, Warioba, Malecela, Sumaye, Lowassa pia na Pinda Marais wote wa zamani Zanzibar ambao ni Salmin Amour, na Amman Karume pia wake za waasisi wa Muungano mama Maria Nyerere na Mama Karume hii ni katika hotuba atakayotoa Kikwete leo Bungeni kuhutubia bunge la katiba hao kawaalika kama wageni zake katika kuisindikiza hotuba sasa mdau anauliza mbona Jumbe hayupo naye alikuwa Rais wa Zanzibar? Pia mke wa Idrissa Wakili hajaalikwa kuwakilisha mmewe kama Mama Maria Nyerere na Mama Karume walivyowakilisha waume zao? Ndio swali
 
Hapa ni kwa sababu za kiafya hawa wanashauriwa kutosafiri kwa sasa waachwe wapumzike.

Source: Nyati
 
Mnataka mzee wa watu apelekwe kwenye machela? Mnaijua hali ya afya yake? Ni tukio gani mmemwona hadharani mara ya mwisho? Mkipata majibu ya haya basi mtajua kwa nini hakualikwa
 
huyu Jumbe sio yule aliye kigamboni, kwamba haruhusiwi katu kutoa mguu kigmboni? Naskiaga aliwekwa huko kizuizin kutokana na enzi za utawala wake kutaka kuvunja muungano.(but sina uhakika)
 
Mnataka mzee wa watu apelekwe kwenye machela? Mnaijua hali ya afya yake? Ni tukio gani mmemwona hadharani mara ya mwisho? Mkipata majibu ya haya basi mtajua kwa nini hakualikwa
a

Huyu Mzee Jumbe hata alipokuwa na afya njema CCM walimtenga kwasababu tu alitaka serikali tatu bravo Jumbe katika viongozi wa Zanzibar huyu alikuwa poa kuliko wote
 
Leo amekuwa mgonjwa ndiyo mnasema sababu hizi. Huyu mzalendo yupo kizuizini tangu enzi za mwalimu na ndiyo maana hakuonekana mahali tangu aache umakamu wa rais wa Jamuhuri ya muungano.
 
kama Jumbe yuko hai na anauwezo wa kufika dodoma,watakuwa wamefanya kosa kubwa sana kutokumualika,hii ni sawasawa na tunavyofanya makosa makubwa kutokuwajali machifu wetu na watu waliomwaga damu zao kupampana na wakoloni kwa kupigana vita
 
"Unaweza vipi kukana kudai serikali tatu, wakati unatoa maoni yanayodai kuwapo kwa mamlaka huru ya Zanzibar, mamlaka huru ya Tanganyika na mamlaka ya Muungano yaliyowekwa wazi maeneo, uwezo, nguvu, utendaji na mipaka ya kila mamlaka? Wanaokataa, wanakataa wanachokubali,"
 
...kutokumwalika huyo mzee ni sawa na mtu kukikimbia kivuli chake...mzimu wa Aboud Jumbe utakiandama hiki chama hadi kinaingia kaburini....
 
a

Huyu Mzee Jumbe hata alipokuwa na afya njema CCM walimtenga kwasababu tu alitaka serikali tatu bravo Jumbe katika viongozi wa Zanzibar huyu alikuwa poa kuliko wote

Hapana hakutaka serikali Tatu, bali ni masariti pia ni mchonganishi, alienda UK aka print hela za Zanzibar, bendera nk, kisha akamwambia waziri mkuu wa UK kipindi kile Kuwa Bara wanampango wa kuivamia Zanzibar, aliporudi huku, akamwambia Nyerere Kuwa kuna kundi la wanajeshi wa nje wamepanga kuivamia Zanzibar kwahiyo anaomba ulinzi, ndiyo Nyerere alipeleka wanajeshi kwa wingi na vifaru kuilinda Zanzibar, Jumbe akapiga simu UK tena kuwaambia Bara imeivamia Zanzibar kama alivyowaambia, baada ya mawasiriano kati ya Nyerere na PM wa UK ndiyo ikaonekana Jumbe mchonganishi, wakamuambia ajihuzuru kwa heshima yake, ila kwa Sasa afya yake siyo imara amezeeka sana, pia haoni.
 
swali muhimu wakuu,
kwanini ccm inapinga serikali tatu?.
mwenye hekima ya ki-GT naomba ajibu kwa faida ya wanajf wote/kuweka record sawa.
natunguliza shukrani.
 
oooohhh sorry tumepitiwa tu ila kwa sasa tumetuma ndege kwenda kuwachukua
Sema jingine
 
Hapana hakutaka serikali Tatu, bali ni masariti pia ni mchonganishi, alienda UK aka print hela za Zanzibar, bendera nk, kisha akamwambia waziri mkuu wa UK kipindi kile Kuwa Bara wanampango wa kuivamia Zanzibar, aliporudi huku, akamwambia Nyerere Kuwa kuna kundi la wanajeshi wa nje wamepanga kuivamia Zanzibar kwahiyo anaomba ulinzi, ndiyo Nyerere alipeleka wanajeshi kwa wingi na vifaru kuilinda Zanzibar, Jumbe akapiga simu UK tena kuwaambia Bara imeivamia Zanzibar kama alivyowaambia, baada ya mawasiriano kati ya Nyerere na PM wa UK ndiyo ikaonekana Jumbe mchonganishi, wakamuambia ajihuzuru kwa heshima yake, ila kwa Sasa afya yake siyo imara amezeeka sana, pia haoni.
hii habari sio sawa.
 
Back
Top Bottom