Namba moja wewe;Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.
Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50).
Tunaweza kuwataja bila uonevu?
Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:
Tuendeleze list
- Rostam Azziz
- Edward Lowassa
- Andrew Chenge
- Idris Rashid,
- Nazir Karamagi,
- Gray Mgonja,
- Basil Mramba,
- Daniel Yona,
- Peter Noni,
- Nimrod Mkono,
- Subash Patel
- Benjamin William Mkapa
- Yusuf Manji
- Anna Mkapa
- Jakaya Mrisho Kikwete
- Vincent Mrisho
- Frederick Sumaye
- Omari Mahita
- Jeetu Patel
- Sir Andy Chande
- Amatus Liyumba
- Emmanuel Nchimbi
- Shailesh Vithlani
- Tanil Somaiya
- Zeutamu Owner
- Patrick Rutabanzibwa
- Felix Mrema (Arusha)
- Laurence Masha
- David Mattaka
- Kingunge Ngombare Mwiru
- Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
Hon his exellence pres col Jakaya mrisho kikwetePeter Serukamba
Dowans Zitto Kabwe
[*]Zeutamu Owner
Hon his exellence pres col Jakaya mrisho kikwete
Hapo ndio umeharibu......
kwi kwi kwi...
Du kwa mtindo huuu JF mnaipeleka kule isipotakiwa kuwa!
number one should be sisi wananchi,ambao many years baada ya kukabidhiwa baton la independence bado tumelala usingizi
List hiyo mnawaonea tu kuwabandika kuwa ndio wanyonyaji wakubwa wa nchi hii. Ni kweli huenda baadhi yao wanachukua vijisenti lakini mali hasa ya nchi hii inaliwa na Multinational Companies ambazo zina operate hapa nchini bila kudhibitiwa na Serikali.
Multinational hizo zimo katika sekta za Madini, Viwanda, Utalii, Uvuvi etc. Njia kuu ya wizi wao:-
1. Kuongeza bei ya malighafi wanazoagiza (over invoicing of imports).
2. Kupunguza bei ya mali wanazouza nje (under invoicing of exports).
3. Kulipa kodi duni (Tax evasion/avoidance)
4. Misamaha ya Kodi (Tax exemptions)
5. Kulipa wafanyakazi wa nje mishahara na marupurupu makubwa sana (High
remuneration of expertriates).
6. Kuongeza maksudi gharama za uendeshaji na ada za Utaalm (High
running/technical advisory fees).
7. Kuongeza bei ya mitambo inayoingizwa nchini (Over pricing of capital
goods).
8. Kutorudisha nchini fedha za kigeni za mauzo ya nje (Fx outflow)
The sum total ya hayo yanayofanywa na multinationals ni kubwa sana ukilinganisha na vijisenti vya hao jamaa zetu put together. Kama tunataka kweli kulitupia macho swala hili tuangalie ni wapi tunapoteza zaidi na tuanzie hapo kuliko kumfuata mtu mmoja mmoja.
Sijui inatumika vigezo gani?, lakini list kama hii yaweza tumika kuchafuana ama kuchafua hata wale wasiokuwepo.
List inaendelea, CCM, UWT(Usalama......)
Mbona jamaa wa Usalama wa Taifa hawamo nao walikula sana hela za EPA?
Kwa nini unamtetea Zitto,unaweza kushika Bible/Quran ukaapa kuwa katika issue ya Dowans Zitto hakuvuta? chonde chonde wadau tuwe wakweli kwa nafsi zetu,tusitetee for the sake of kutetea hata kama facts ziko glaring!Duuuh! Zitto hapana wakuu, hawa ni kwa Dowans tu. Au mnasemaje wakuu?