waziri aweso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigrastratatract nerve

    Tanga: Serikali kutumia Tsh Bilioni 3 kutoa maji yanayotola mto zigi hadi Muheza

    📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
  2. Roving Journalist

    Waziri Aweso aagiza timu ya Wataalamu kuchunguza madai ya maji yenye uchafu Sombetini Arusha

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
  3. Roving Journalist

    Waziri Aweso: DAWASA wakopesheni wanaotaka kuunganishiwa maji watalipa kidogokidogo

    Akizungumza katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi Mradi wa Maji Bangulo, Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amemwambia Mkandarasi kuwa Wananchi wa Kusini mwa Dar wameteseka kwa muda mrefu, hivyo hana kisingizio kutekeleza mradi huo kwa kuwa fedha zipo. Waziri Aweso amewaambia DAWASA kuzingatia...
  4. A

    DOKEZO Viongozi hawa Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) ni tatizo, Waziri Aweso sikia kilio chetu Watumishi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso. SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
  5. benzemah

    Waziri Aweso Amshukuru Rais Samia ukarabati Chuo cha Maji, atoa maagizo mazito

    Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
  6. R

    Waziri Aweso tusaidie waambie Tanga Uwasa watupatie maji

    Leo ni siku ya 6 bila maji na hatujaambiwa sababu ni nini; au kuopewa taarifa ya kutunza maji. They do not care at all. Inaezekana ni uzembe maana hakuna wa kuwakemea kama zamani. Please tusaidie maana chanzo cha maji Amani maji yapo tele!
  7. R

    Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

    Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne! Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
  8. Countrywide

    Rais Samia ongea vizuri na Waziri Aweso, kuna mikoa inategemea Ziwa Victoria lakini ina mgao wa maji

    Rais wetu mama Samia pole kwa majukumu. Leo nimekusikia ukisema chanzo cha mgao wa maji hapa Dar ni ukame uliopo mto Ruvu na sababu ni watu kuharibu mazingira. Naomba nikubaliane na wewe kwenye hili, lakini. Nakuomba uongee vizuri na Waziri Aweso kwa maana sababu inaweza ikawa zaidi ya hiyo...
Back
Top Bottom