wasimamishwa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Wakurugenzi na Maafisa 6 wa AICC wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu

    Wakurugenzi na Maafisa 6 wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) wamesimamishwa kazi kwa muda kuanzia Aprili 3, 2024 ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Baadhi ya tuhuma hizo ni pamoja na kukiuka taratibu na kanuni za uendeshaji wa Mashirika ya Umma...
  2. Informer

    Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  3. M

    Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
  4. M

    Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

    MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu...
  5. BARD AI

    Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho. Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000 Tayari...
  6. BARD AI

    Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi. Homera amefikia uamuzi huo jana...
  7. JanguKamaJangu

    Ghana: Maafisa 27 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kuruhusu nyaraka bandia

    Watumishi hao wametuhumiwa kushiriki katika makosa mbalimbali yanayohusisha nyaraka bandia ikiwemo suala la kughushi visa. Kati ya waliosimamishwa Watumishi watatu ni wazoefu wakati 24 ni Maafisa wa ngazi za chini, ambapo uchunguzi unaendelea dhidi yao. Kati ya wote waliosimamishwa kwa tuhuma...
  8. BARD AI

    Maafisa 27 wasimamishwa kazi kwa kuingiza Sokoni Sukari iliyoharibika

    Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake. Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa...
  9. BARD AI

    Mkuu wa Polisi (OCD) na Afisa Upelelezi Kilombero wasimamishwa kazi kwa Unyanyasaji

    Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana. Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri...
  10. BARD AI

    Ufaransa: Marubani wasimamishwa kazi kwa kupigana wakiwa angani

    Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni. Wafanyakazi wengine waliingilia kati ugomvi baada ya kusikia kelele ambapo waliamua kuwatenganisha vyumba...
  11. Wakulonga

    Watu wawili wasimamishwa kazi kwa kufany mapenzi wodini

    MKUU wa wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora Paul Chacha amewasimamisha kazi watumishi 2 wa Kituo cha Afya Kaliua kwa tuhuma za kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu usiku. Akitoa taarifa hiyo juzi mkuu wa wilaya hiyo alisema kuwa amechukua hatua hiyo baada ya watumishi hao kulalamikiwa na wagonjwa juu...
  12. Dr. Wansegamila

    Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  13. MR TOXIC

    #COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

    Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
  14. Roving Journalist

    Christopher Mariba, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na mwenzake, watuhumiwa kuomba na kupokea rushwa, wasimamishwa kazi

    TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO WA HABARI IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 20, 2020 WATUMISHI WAWILI WA TAKUKURU WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa — TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa...
Back
Top Bottom