Mkuu wa Polisi (OCD) na Afisa Upelelezi Kilombero wasimamishwa kazi kwa Unyanyasaji

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,410
8,191
Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana.

Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri Masauni amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) #CamillusWambura kuwachunguza na wa kuwahamisha maeneo yao ya kazi.

Kati malalamiko yaliyotajwa na Wananchi ni pamoja na baadhi ya Askari kuwakamata bila utaratibu, kunyimwa dhamana, kutozwa faini na madai ya kutumiwa na Wafanyabiashara wenye Fedha pamoja na kuwambikia Kesi za jinai.
 
KUFUKUZWA ITAKUWA NGUMU NDIO WANASAIDIA CCM ILA WATAPELEKA SEHEMU NYENGINE WASIO WAFAHAMU.
sawa na yule askari kule mwanza anayetuumiwa kumaliza vijana uhai ,unazani utamtoa kazi yake
 
Nimefungua Uzi nikijua wamefukuzwa kumbe wamehamishwa tu! Is that enough! Huko wanakohamia raia wajiandae . Mateso Yako pale pale
 
Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana.

Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri Masauni amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) #CamillusWambura kuwachunguza na wa kuwahamisha maeneo yao ya kazi.

Kati malalamiko yaliyotajwa na Wananchi ni pamoja na baadhi ya Askari kuwakamata bila utaratibu, kunyimwa dhamana, kutozwa faini na madai ya kutumiwa na Wafanyabiashara wenye Fedha pamoja na kuwambikia Kesi za jinai.
kituo cha polisi kirombero chote kimeoza wapo polisi hapo wanamiliki pesa chafu wanamiliki mafuso magali ya sitarehe wanachota hela kwa wafugaji viloba mkulima hana thamani mwenye nguvu ni mfugaji tu mahakama zizipo tu

jambo ulilo lifanya mama samia ni kuondoa mzimu uliokuwepo hapa sijui mzimu huo ulipataje nafasi hiyo umetwachia mkosi kati ya msikiti wa muhajirina na kanisa la urogo

mzimu huo bora umeondoka mwanzo wa kujenga kanisa hilo tulipeleka malalamiko kwake lakini atukusikilizwa sasa kanisa limejengwa mbela ya msikiti umbali wa mita 10 kelele mchana kutwa miziki vilio usiku kucha

tunashukulu kuondoa mzimu huo na kutuletea mkuu wa wilaya mpiya anae fuata kelo za watu mitaani kaanza na polisi bila shaka na ss wasilamu wa muhajirin utasikia kilio chetu karibu sana jembe ila kasi yako iendelee hivi hivi isiwe nguvu ya soda sasa igia ofisi ya aridhi humo kumeoza
 
Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana.

Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri Masauni amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) #CamillusWambura kuwachunguza na wa kuwahamisha maeneo yao ya kazi.

Kati malalamiko yaliyotajwa na Wananchi ni pamoja na baadhi ya Askari kuwakamata bila utaratibu, kunyimwa dhamana, kutozwa faini na madai ya kutumiwa na Wafanyabiashara wenye Fedha pamoja na kuwambikia Kesi za jinai.
tz ndio nchi pekee ambayo hasikali anasitafu akiwa kwenye kituo alicho anzia kazi bila kuhamishwa kwann asikigeuze kituo mali yake?
 
Back
Top Bottom