utoaji mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza duniani kuidhinisha Utoaji Mimba kuwa haki ya Kikatiba

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameripotiwa kuwa anatumai marekebisho hayo ya katiba yatamtofautisha na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally cha Ufaransa - ambacho kinazidi kupiga kura kabla ya uchaguzi wa Ulaya mwezi Juni. France has become the first country in the...
  2. Tlaatlaah

    Kwa hali hii ya utoaji mimba kiholela, p2 zimegoma au zimezira

    Kwa kipindi sasa jambo hili la utoaji mimba kiholela limeshamiri na limeanza kuzoeleka na kuonekana la kawaida kabisa mtaani. Utaskia tu mtaani wakiongea, aah pisi fulani kafinya bana, si unaona kachuja, hajui mimba ni ya nani na mshkaji aliyembambikia kamakazia sio yake na kwakuwa pisi bado...
  3. BigTall

    Prof. Pembe: Utoaji mimba usio salama unaweza kuchangia kizazi kupasuka

    Jamii imetakiwa kuwa makini na matumizi ya vidonge na njia mbalimbali zinazotumiwa kwa lengo la kutoa mimba kuwa zinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya na hata kusababisha kifo. Baadhi ya dawa ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu wengi kwa matumizi ya utoaji mimba ni Misoprostol ambapo imeelezwa...
  4. Ricky Blair

    Utoaji mimba

    Kiinitete hakina haki. Haki hazitolewi na ambacho hakijaja bado bali kwa yule ambaye ameshafika. Mtoto hawezi kupata haki yoyote mpaka azaliwe. Yule anayeishi (Mwanamke) anamtangulia yule ambaye bado hajazaliwa kwenye haki kwani huyo mwanamke akiamua kujiua wote mmekosa. Utoaji mimba ni haki...
  5. H

    DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  6. John Haramba

    Maoni, mitazamo kuhusu sheria ya utoaji mimba kwa wanaopata ujauzito bila ridhaa yao

    Wiki iliyopita katika makala ya Sheria ya katazo la Utoaji Mimba Tanzania dhidi ya uhalisia wa maisha halisi ya mtaani nilielezea kuhusu uhalisia ulivyo kwa sasa wa matukio mengi ya unyanyasaji wa kingono yanayotokea kwenye jamii zetu. Makala iligusia jinsi Wasichana wadogo wanavyobebeshwa...
  7. John Haramba

    Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani

    Miaka inavyosogea ndivyo mabadiliko ya digitali yanazidi kushika kasi, mabadiliko hayo yanaenda sambamba na mabadiliko ya vyakula, vinywaji na dawa zinazotumiwa na binadamu. Hivyo ndivyo ambavyo magonjwa yanayohusu afya ya uzazi yamekuwa yakiongezeka, hii ni kwa jinsia zote Wanaume na Wanawake...
  8. M

    SoC02 Utoaji mimba usio salama ni chunusi anayeendelea kunywa damu za mabinti zetu

    Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa njia salama na nusu yake hutolewa kwa njia isiyo salama. Utoaji huo wa mimba usio salama kote...
  9. BigTall

    Mbunge azungumzia Utoaji Mimba usio salama kuwa unazidi kuendelea Nchini Tanzania

    Suala la utoaji mimba usio salama limekuwa gumzo siku za hivi karibuni na takwimu zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi husababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo utoaji wa mimba usiosalama. Takwimu zinaonesha katika kila Wanawake 100,000 kunatokea vifo 454 mpaka vifo 556 (Taarifa kutoka...
  10. Analogia Malenga

    Kenya yaruhusu utoaji mimba

    Mahakam Kuu ya #Malindi, nchini #Kenya imetambua utoaji mimba kuwa ni Haki ya Msingi inayotambuliwa na Katiba ya Kenya. Kuwakamata wanaotoa mimba ni kinyume cha Sheria Polisi nchini humo wamekuwa wakiwakamata watumishi wa Afya na Wanawake kwa tuhuma za utoaji mimba. Kesi ya hivi karibuni ya...
  11. Analogia Malenga

    WHO: Wanawake wengi hufa kutokana na utoaji mimba

    WHO na wadau wake wamefanya utafiti katika nchi 17 za Amerika ya Kusini na Karibea. WHO imeshirikiana na HRP yaani Human Reproduction Program ambacho ni chombo kikuu cha mfumo wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya utafiti katika uzazi wa binadamu ili kuboresha afya ya uzazi. Nyongeza maalum...
  12. BAK

    Serikali ya Tanzania yaridhia utoaji mimba

    Serikali yaridhia utoaji mimba * PRO-LIFE yapinga, yamwandikia Kikwete na Joseph Sabinus Tanzania Daima~Sauti ya watu SERIKALI imetia saini kuridhia itifaki za haki za wanawake, ikiwemo ya kuruhusu utoaji mimba nchini. Tanzania imeridhia mkataba huo, huku madhehebu mbalimbali ya dini...
Back
Top Bottom