usaili

  1. K

    Umati wa usaili UDOM: Tunahitaji mjadala wa Kitaifa kuhusu tatizo la ajira nchini

    Leo asubuhi nimemleta mtu hapa UDOM kuhudhuria Usaili wa kazi za Utumishi, hakika watu ni wengi. Binafsi nliyemleta ameitwa kwenye Usaili wa nafasi za National Audit, only 10 kama sio 20 nafasi lkn wameitwa watu sio chini ya 3400, yaani watu hao ndio wapatikane only 20 people. Kibaya zaidi...
  2. Marathon day

    Ubaguzi kwenye usaili Dodoma standard gauge

    Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu. Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...
  3. Janeth Stephano Michael

    Kuna walioitwa kwenye usaili wa TAZAMA pipelines?

    Habari wadau! Napenda kuuliza kama kuna watu waliitwa kwenye usaili tazama pipelines ltd kwenye post yao ya plant operator.
  4. S

    TASAF mbona mpo kimya kuhusu matokea ya usaili uliofanyika toka mwezi Novemba mwaka jana kupitia utumishi

    Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November. Ila toka tulipofanya ile written na oral interview sasa huu unaenda mwezi wa 3 bilabila si utumishi wala tasaf...
  5. Nyankurungu2020

    Matokeo ya usaili wa Mahakama mbona huchukua muda mrefu?

    Nilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado. Kumbuka unachoma nauli toka mkoani, unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka. Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
  6. kalipeni

    Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
  7. I

    Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

    Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana. Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo. Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza. TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer...
  8. Kategele

    Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

    Baada ya kukaa kusubiri takribani miezi mitatu hatimaye umeitwa kwenye usaili. Njoo hapa uelezee namna ambavyo unajipanga na usaili.
  9. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  10. A

    Usaili Auditor grade II

    Habari zenu? Utumishi walitangaza nafasi za kazi za auditor grade II, naona wameita watu kwenye usaili mwenye majina please nayaomba maana nimejaribu kuyatafuta siyaoni. Note: Kwenye account yangu inaonyesha nimeitwa kwa kwenye usaili na number ya usaili ipo ila ishu ni kwamba majina ndiyo...
  11. Kapepo

    Tangazo la kukumbushia kunakili namba ya usaili

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawataarifu Wasailiwa wote walioorodheshwa katika tangazo lililotolewa tarehe 29 Mei, 2020 lenye Kumb.NaEA.7/96/01/K/208 linaonyesha Usaili unatarajiwa kuanza tarehe 06 hadi 17 Juni, 2020. Ambao nafasi za kazi walizoomba zimeoneshwa kuwa watafanya...
  12. Analogia Malenga

    WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  13. M

    Matokeo ya usaili wa TAA Internship

    Waliofanya usaili wa mchujo TAA matokeo yametoka
Back
Top Bottom