Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa...
UONGOZI WA RAIS MAGUFULI UMELETA UWIANO KATI YA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI NA HUDUMA ZA JAMII
Ni habari njema katika utekelezaji wa sera za maendeleo ya Taifa pale nchi yetu ya Tanzania inapoingia katika uchumi wa kati. Lakini habari ya kutia moyo zaidi ni kwa Uongozi wa Awamu ya Tano chini ya Rais...
Mwasisi wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika uhai wake alitoa hotuba nyingi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali, ndani na nje ya nchi. Moja ya hotuba zilizovuta hisia za Watanzania wengi ni ile aliyoitoa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi mnamo...
Na Debora C. Kiyuga ✍🏽
Miaka Mitano ya Magufuli Serikali imeimarisha uhusiano na ushirikiano na Mataifa ya nje pamoja na taasisi za kimataifa. Hii ndiyo sababu Serikali iliweza kupokea viongozi wa Nchi na Taasisi mbalimbali za kimataifa, ikiwemo Vietnam, India, Uturuki, Afrika Kusini, DRC...
Hoja ya kuwa Mgombea Wetu Rais Magufuli anapendelea Chato hazina Mashiko :-
1. Ikulu ya Chamwino -ni Chato?
2. Hospital za Rufaa za Kanda Mtwara na Mara ni Chato?
3. Reli SGR-inafika Chato?
4.Bwawa Kubwa la Kuzalisha Umeme liko Chato?
5. Flyover -Ziko Chato?
6. Cherezo za Meli-ziko...
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE
===
MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
Na Bwanku M Bwanku
CCM kwa miaka 56 toka kuasisiwa kwa Muungano wetu adhimu wa Tanganyika na Zanzibar imeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu huu wa mfano kote duniani, wa kihistoria na wa kipekee sana kwa kuzidi kuulinda, kuuenzi na kushughulika na changamoto zake zote ili uendelee...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na Kampeni katika mkoa wa Geita mabapo mbali na kuomba kura ameeleza mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika mkoa huo huku akisisitiza katika kuleta maendeleo zaidi katika mkoa huo, haya ni baadhi ya aliyoyazungumza...
TULINGANISHE SERA ZA MAGUFULI, LISU NA MEMBE:
Tukielekea kwenye uchaguzi tumeanza kuona washabiki wakibezana na kuhoji sera za washindani wao. Wapo waliomwambia Lisu kuwa yeye ni kutukana tuu hana hoja. Kuna waliosema Magufuli anatumia vitisho na kulazimisha watanzania wampende. Na mwisho kuna...
ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA.
Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.