sancho

The name Sancho (Spanish: [ˈsantʃo]) is an Iberian name of Basque origin (Santxo, Santzo, Santso, Antzo, Sans). Sancho stems from the Latin name Sanctius. The feminine form is Sancha (Spanish: [ˈsantʃa]) and the common patronymic is Sánchez.
Outside the Spanish-speaking world, the name is especially associated with the literary character Sancho Panza.

Sancho is a common slang term in the Spanish speaking world for the other man in the relationship. As in a spouse or girlfriend who is being unfaithful with a Sancho. Sancha is the feminine equivalent.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Jadon Sancho aondolewa kwenye Group la WhatsApp la Man United

    Winga Jadon Sancho ambaye yupo nje ya kikosi cha kwanza cha Manchester United kutokana na kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha wake, Erik ten Hag ameondolewa katika Kundi la Wachezaji la timu hiyo kwenye Mtandao wa WhatsApp hali inayoonesha uwezekano wa kurejea kikosini ni jambo gumu Gazeti la...
  2. JanguKamaJangu

    Jadon Sancho azuiwa kutumia vifaa vyote vya kikosi cha kwanza Man United

    Jadon Sancho Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited, Erik ten Hag Sancho amegoma kuomba radhi baada ya kumshambulia kocha wake kupitia Mtandao wa Kijamii...
  3. JanguKamaJangu

    FC Barcelona yajipanga kumsajili Jadon Sancho

    Klabu ya Barcelona inadaiwa inataka kumsajili winga huyo wa Manchester United katika usajili wa dirisha dogo la Januari 2024 baada ya kutokuwa na uhusiano mzuri na kocha wake, Erik ten Hag. Barcelona ina uhaba wa idara ya ushambuliaji kutokea pembeni baada ya kumtoa kwa mkopo Ansu Fati kwenda...
  4. JanguKamaJangu

    Jadon Sancho amezuiwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Man United

    Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag. Ametakiwa kufanya mazoezi na wachezaji wa kikosi cha vijana cha timu hiyo kwenye Uwanja wa Carrington. Sancho...
  5. JanguKamaJangu

    Manchester United kumsajili Anwar El Ghazi ili kuziba nafasi ya Antony na Sancho

    Manchester United inahitaji winga wa kulia baada ya Antony kutakuwa kuwa nje ya klabu kwa muda wakati akishughulikia kesi zinazomkabili wakati Jadon Sancho hatma yake haijulikani baada ya kutofatiana na kocha wake, Erik ten Hag. El Ghazi (28) ni mchezaji huru, aliondoka PSV Eindhoven, wiki...
  6. JanguKamaJangu

    Borussia Dortmund yamtaka Jadon Sancho kwa mkopo

    Klabu hiyo ya Ujerumani imeonesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Manchester United katika dirisha la Januari 2024 baada ya uhusiano na kocha wake, Erik ten Hag kuyumba. Sancho alisajiliwa miaka miwili iliyopita kwa ada ya Paundi Milioni 73 akitokea Dortmund lakini ameshindwa kuonesha...
  7. JanguKamaJangu

    England: Kimenuka, baada ya kuwekwa benchi, Jadon Sancho amjia juu kocha wake hadharani

    Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
Back
Top Bottom