mdada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Usichukulie poa, nyumba ni choo

    UPDATES: ===== Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist, Mrangi na TIASSA tukutane hapa. Tujitahidini iwe clean no nudity!
  2. Ferruccio Lamborghini

    Mdada wa Stationery anahitajika haraka

    Ofisi ipo Mbezi Goba. AWE MA SIFA ZIFUATAZO 1. Awe anaweza kutype kwa spidi. 2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet 3. Awe ana uwezo wa kudesign. 4. Awe anaweza kuprint. 5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy. 6. Awe anaweza kuscan. 7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe. 8. Awe anaweza...
  3. kibovu

    Mdada white wa exray hospital binafsi yenye chuo Dar Es Salaam

    Igweeeee Kwanza nipongeze kwa huduma bora. Nakuomba mnamo tarehe tatu mwezi january nilikuja ulinifanyia vipimo vya xray kwa weredi mkubwa nimdada mweupe mnene kiasi ulikuwa umevaa kigauni min Natamani nikupe zawadi kwa huduma zako bora nimeamua kutokutaja hospital yako but ni hospital...
  4. Kendk

    Natafuta Mpenzi

    Umri wangu miaka 32 mdada mwenye sifa zifuatazo anaitajika. 1.awe anapenda ugomvi 2.awe anatumia castle lite ata bingwa sio mbaya 3.awe na mtoto wasizidi 2 4.umri wake usizid miaka 34 5.awe haijawah kujeruh kwa kitu 6.asiwe mvivu kitandan 7.awe na kazi yake 8.awe na makalio kias Asanten sifa...
  5. K

    Ninatafuta kazi za ndani ambae atahitaji mdada wa ndani ninapatikana

    Habarini wana JamiiForums Ninatafuta kazi za ndani kwa yeyote ambae atahitaji mdada wa ndani ninapatikana Malipo kuanzia laki Asanteni
  6. Balqior

    Men's talk: Kwenye kupanga first date, mualike mdada ghetto kwako, kama hataki muache

    Ukikutana Na mdada Ukachukua namba yake, mkafahamiana kidogo, huna haja ya kumpeleka kwenye migahawa ghali, au kumlipia nauli, vocha, au kumpa pesa alizokuomba. Wewe mueleze sehemu unapokaa, Na mda utakaokuwa free, Jibu pekee utakalotakiwa ulikubali, ni yeye kuja ghetto kwako, aje umvue nguo...
  7. Ego is the Enemy

    I wish Sana kupata mdada mcheshi/customer care/kutangaza huduma ili ku capture new customers

    Habarini wanajukwaa. Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga Nchi yetu Tanzania. Moja kwa moja kwenye maada. Mie Kuna vinywaji napewa na kiwanda kusambaza eneo moja hapa mza mjini. Nafungua store like maji,juice,soda and like. Kazi nayofanya ni kuwazia watu wa madukani,vibandani na wote...
  8. Balqior

    Huyu mdada nimueleweje?

    Mwaka mmoja uliopita, nilimtongoza mdada wa jirani hapa, nilimwomba namba akanipa, siku ingine tulivokutana nlimweleza nia yangu ya mimi na yeye tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akanikataa katakata kwa kusema tayari ana boyfriend na hawezi kuchanganya wanaume wawili nikamwelewa, wala...
  9. Superbug

    Naomba kumfahamu kwa undani mdada Tina Rogat wa insta almaarufu 'Umelala Yoooo'

    Huyu mdada anaitwa Tina Rogat Yuko insta almaarufu 'Umelala Yoooo' yani nampenda mno mpaka naumwa Ana macho mazuri mnoooo halafu Ana sura flani ya aibu ya kike naomba muuskrinshot ujumbe huu mumpelekee inta. Tina naomba uwe mke wangu una JICHO mamaaaa.
  10. Balqior

    Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

    Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa. Nikaanza...
  11. Ben Zen Tarot

    Wewe mdada kama mtu humtaki mwambie ukweli

    Wanawake hasa wadada, mnapotongozwa na Wanaume na kujibu; Nipo kwenye mahusiano huku ikiwa si kweli, haupo kwenye mahusiano yoyote; Upo unasikilizia kwa Mwanaume atakayekuja, ila jibu la nipo kwenye mahusiano, uwa kama njia rahisi kwenu ya kumkataa Mwanamume yule usiyempenda kwa sababu na vigezo...
  12. T

    Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

    Habari wana JamiiForums. Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke. Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye...
  13. Ushimen

    Mdada niliyewahi mkimbia lodge ndiye Hakimu kwenye kesi yangu leo

    Ni miaka 12 sasa, huyu mwali tulikutana kwenye usahili katika moja ya makampuni makubwa yaliyowekeza Tanzania. Kwa bashasha tulitokea kuelewana na tukafahamiana ndani ya muda mfupi, na vijana wana msemo kwamba binti alinielewa baada ya kuonesha kumjali kwa mambo kadhaa. Baada ya usahili...
  14. Dr Rutagwerera Sr

    Anahitajika mdada wa kazi Ruangwa, Lindi

    Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM. Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.
  15. luangalila

    We kijana ulishawahi kuombwa uroda na mdada?

    Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi. Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja Mwananyamala alikuwa ana style yake ya kuomba mapigo, ananipigia simu akidai anaumwa sanaa, basi kidume...
Back
Top Bottom