matrafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdull Kazi

    Matrafiki wana roho mtakatifu wao

    Kwanza hujazana kwa wingi Kituoni iwe Mwenge Tazara,Mwananchi Relini Tabata Baracuda,Segerea,Temeke,Mtoni Madafu Chanika,Mbande na kwingineko ambako ni rahisi kusimamisha daladala Na wanakuwa wengi kuliko daladala. Roho mtakatifu wao kawapa ufunuo wa kujua jina la dereva na konda, kuliko...
  2. BARD AI

    Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani. Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
  3. BigTall

    Matrafiki wa Mwenge ndio wanaosababisha foleni, bora waache taa ziongoze

    Kuna muda huwa sipendi kupita katika njia ya pale Mwenge kwenye Jiji letu la Dar es Salaam hasa majira ya jioni, maana wale trafiki wanaoongoza magari mitaa hiyo ni wazinguaji hasa. Kwa ufupi wao ndio wanaosababisha foleni iwe kubwa, bora wangeacha taa zifanye kazi, wanazingua sana. Ikifika...
  4. Ulongupanjala

    DOKEZO Matrafiki wa Ifakara na Lupiro ni shida kubwa

    Habari ndugu zangu? Naomba niseme haya ili wenye mamlaka wawachukulie hatua ikiwemo waziri wa mambo ya ndani na IGP nk. Ifakara na Lupiro ipo mkoa wa Morogoro. Iko hivi trafiki wa Ifakara hasa maeneo ya kabla na baada ya daraja la Magufuli (Kivukoni) wamekuwa kero sana kwa waendesha bajaji...
  5. V

    Matrafiki wameanza tena kamata kamata

    Miezi michache baada ya rai ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Comredi Adulrahaman Kinana kwa jeshi la polisi kupunguza bugudha kwa magari na hasa maeneo ya mijini, hali imebadilika na taratibu inaanza kujirudia kama ilivyokuwa awali. Ule unafuu uliokuwa umeanza kupatikana sasa unapotea kwa haraka...
  6. GENTAMYCINE

    Kama Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) katoa tu Tamko kwa 'Matrafiki' limetendeka, tunamuomba atoe na 'Matamko' na huku pia.....

    1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa. 2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama...
  7. U

    Matrafiki kukaa Barabarani kunasababisha maradhi ya Moyo na msongo wa mawazo kwa Madereva

    Jeshi la Polisi Tanzania Lina utaratibu la kuwapa vitendea kazi trafki yaani askari wa usalama barabarani vikiwemo Mashine ya Risiti na Tochi ya kukamatia waozidi mwendo wa 50 jambo ambalo ni tofauti na nchi za wenzetu ambapo trafiki wao hupewa Silaha, gari na nyenzo nyingine muhimu. Jambo hili...
  8. Mmawia

    Taasisi ya kuzuia Rushwa Kenya inaonesha jinsi ya kupunguza rushwa ya matrafiki

    Waswahili wanasemaga kuwa iga kilicho bora. Takukuru ya nchini Kenya inaonyesha jinsi ya angalau kupunguza rushwa ya matraffic nchini humo. Hii style ingetufaa hapa kwetu maana haina haja ya upelelezi tena hapo.
Back
Top Bottom