mataa

Moka Kainga-mataa [Te Kaingamataa/Te Kaingamata/Te Kainga-mata/Te Kainga-mataa] (1790s–1860s) was a Māori rangatira (chief) of the Ngā Puhi iwi from Northland in New Zealand. He was distinguished in war and an intelligent participant in the Treaty of Waitangi process.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    Mataa ya kuongoza magari yanasababisha foleni

    Mataa yaliundwa ili kuongeza usalama kwenye makutano ya barabara. Lakini yana athari moja mbaya. Yanaleta foleni mijini. Utafiti umefanyika umeonyesha kuwa roundabouts ni salama kuliko mataa na pia hazileti foleni. Mfano hai: Zamani Mbeya kulikuwaga hakuna foleni. Lakini tokea waweke mataa...
  2. LA7

    Arusha: Taa za barabarani🚥hazifanyi kazi muda sasa

    Ni ile njia kuu ya kati unakuta muda wowote inawaka taa ya njano pekee hali inayosababisha kuharibu utaratibu kwa watembea kwa miguu hasa wanaotoka Stendi Kuu kuelekea kupanda gari zinazoenda sehemu mbali mbali ndani ya jiji, Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada...
  3. M

    Ni mimi kilaza au Tanroads: Sioni umuhimu wa taa za kuongoza magari Sam Nujoma vs Simu 2000 (Mawasiliano)

    Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
  4. M

    Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotumika taifa letu ujengwe mnara mkubwa Chato eneo la mataa Muungano ili iwe kumbukumbu shadidi

    Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma. Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa. Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa aliyofanya hasa kudhibiti wizi wa mali za umma. Basi ijengwe sanamu mjini chato kulinda heshima na...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
  6. Lycaon pictus

    Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  7. Teko Modise

    Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro. Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
  8. FRANCIS DA DON

    Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

    Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani...
  9. FRANCIS DA DON

    Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

    Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo...
  10. Fohadi

    Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
  11. boy 1

    Wizi kwenye Mataa ya barabarani

    Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga. Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma...
Back
Top Bottom