Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,082
40,733
Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu.

Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo 560, hivyo bado kuna salio la kama bilioni 25.

Naamini wiki 4 zinazofuata zinaweza zikavuna tozo sawa na hiyo au zaidi toka kwenye miamala ya simu.

Itakuwa ni furaha mno kwangu endapo 50 Billion za mwezi unaofuata zikaenda kuanza ujenzi wa flyover kwenye Mataa ya Morrocco.

Baada ya hapo Billion 50 za mwezi unaofuata tena,na baada ya hapo, tena? Na baada ya hapo tena? Itabidi tukajenge Zahanati za msaada hadi Rwanda na Burundi ili waTanzania watakaohamia huko wajisikie nyumbani 😂😂

================================
Update: 27/09/2021

Matumizi ya tozo👇🤡🤡🤡
MAElFFr.jpg
 
Barabara ya nyerere road inapendelewa.

Ndio ya kwanza kujengewa fly over dar pale tazara.. na haijapita hata muda imeanza kujengewa fly over ya pili mataa ya veta. Huku bara bara zingine kubwa kibao hazina fly over hata moja.
 
Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu.

Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo 560, hivyo bado kuna salio la kama bilioni 25.

Naamini wiki 4 zinazofuata zinaweza zikavuna tozo sawa na hiyo au zaidi toka kwenye miamala ya simu.

Itakuwa ni furaha mno kwangu endapo 50 Billion za mwezi unaofuata zikaenda kuanza ujenzi wa flyover kwenye Mataa ya Morrocco.

Baada ya hapo Billion 50 za mwezi unaofuata tena,na baada ya hapo, tena? Na baada ya hapo tena? Itabidi tukajenge Zahanati za msaada hadi Rwanda na Burundi ili waTanzania watakaohamia huko wajisikie nyumbani
Anataka kujenga Daraja Jangwani litumike wakati wa masika maana umuhimu wake unaonekana masika.
 
Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu.

Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo 560, hivyo bado kuna salio la kama bilioni 25.

Naamini wiki 4 zinazofuata zinaweza zikavuna tozo sawa na hiyo au zaidi toka kwenye miamala ya simu.

Itakuwa ni furaha mno kwangu endapo 50 Billion za mwezi unaofuata zikaenda kuanza ujenzi wa flyover kwenye Mataa ya Morrocco.

Baada ya hapo Billion 50 za mwezi unaofuata tena,na baada ya hapo, tena? Na baada ya hapo tena? Itabidi tukajenge Zahanati za msaada hadi Rwanda na Burundi ili waTanzania watakaohamia huko wajisikie nyumbani 😂😂
Flyover like serious? Do we even need a flyover at Morroco that urgently?

Sioni sababu ya kupeleka hizo hela huko kwa sasa hapana! Watu wa kule hawana shida hio hata gari zikiunguruma masaa 3 full ac hela wanazo 😅
 
Pendekeza ziende wapi
 
Back
Top Bottom