Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,894
109,620
Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha.

Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF Mstaafu Rubani Mahiri wa Ndege Vita Jenerali Robert Mboma tu?

Kuhusiana na hili nililoliweka hapa nitapenda nitapenda nipate Majibu ya Kisayansi ( Kitaalam ) na yale ya Imani zetu za Uswahili Uswahili / Uenyeji Uenyeji kwani huenda tukapa Suluhisho juu ya eneo hilo ( hili ) kuwa Machinjioni kwa Vijana wanaoanza Kutajirika na Kufanikiwa Kimaisha.

Cc' Bujibuji Simba Nyamaume na nategemea sana Uchambuzi wako kwani 95% ya Maisha yako na hata Kulewa Kwako huwa ni eneo hilo hilo tena 'Sometimes' ukiwa na Ndugu zangu ( wa Kizanaki ) na Mademu zenu Wasioeleweka.
 
sleepy-fatso-picture-id157603689-1.jpg
 
Siri ya pale ni hiki kiumbe.
20221013_160729.jpg
20221013_160738.jpg
20221013_155747.jpg

Vijana mnalewa sana, mnakimbiza magari yenu, hamzingatii sheria za barabarani, matokeo yake ni ajali.

Wanaomsingizia huyo kiumbe kuwa ananyonya damu za watu, ni kwamba wanajaribu tu kuukimbia ukweli ambao wanaujua fika.
 
Hayo Mataa 2019 Iliniulia Rafiki yangu Kipenzi....

Usiku mambo ya Vijana....Wametoka Goba huko....Na siku hiyo hakuwa hata amekunywa....

Ajali ilivyotokea alitokea kwenye Windscreen akarushwa nje huko ...Alifia pale pale hakufunga mkanda....Bora hata mwingine alifia Hospitali...

Endelea kupumzika kwa Amani S.
 
Sababu ya kifo ni uzembe kwa kutofunga mkanda. Na unaweza kukuta huyo jamaa yako ni graduate but elimu haijamkomboa kwenye maisha ya mtaani. RIP..
 
Siri ya pale ni hiki kiumbe.View attachment 2386733View attachment 2386734View attachment 2386736
Vijana mnalewa sana, mnakimbiza magari yenu, hamzingatii sheria za barabarani, matokeo yake ni ajali.

Wanaomsingizia huyo kiumbe kuwa ananyonya damu za watu, ni kwamba wanajaribu tu kuukimbia ukweli ambao wanaujua fika.
Nakubaliana nawe 100% kwa hili kwani Yule Tajiri wa Kihaya alikufa hapo hapo akiwa Chakari na Kidemu ndani na huyu Dogo wa Juzi ( Mchagga ) aliyesafirishwa Jana na anazikwa leo nae alikuwa Chakari akitokea katika Harusi.

Na kwa Spidi Kali aliyokuwa nayo walipofika SUPA Lugalo Mdogo wake alimtaka ampishe ili aendeshe Yeye ila Marehemu akakataa.

Mdogo Mtu alipoona Kaka yake ( Marehemu ) hasikii na anaenda Spidi akaomba ashuke Kwa Komba ili atembee kwa Miguu hadi Kwao na amuache Kaka yake Cha Pombe na Mbishi aendeshe peke yake.

Aliposhuka tu akiwa anatembea pembezoni haikupita hata Dakika 5 akasikia Mlio Mkubwa hapo Mataa ambapo Lori aina ya Fuso ilikuwa imeshakokiwa na Kuigonga Gari ya Kaka yake ( Marehemu ) na alipowahi eneo la Tukio kuona kumetokea nini akakuta ni Gari ya Kaka yake imegongwa upande ule ule wake akiwa Kaumia vibaya ( ila Madereva Boda Boda wa pale wakimchomolea Simu na Wallet yake ) na kumuwahisha Lugalo Hospital ambapo alifia Njiani na sasa kuwa ni Historia.
 
Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha.

Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF Mstaafu Rubani Mahiri wa Ndege Vita Jenerali Robert Mboma tu?

Kuhusiana na hili nililoliweka hapa nitapenda nitapenda nipate Majibu ya Kisayansi ( Kitaalam ) na yale ya Imani zetu za Uswahili Uswahili / Uenyeji Uenyeji kwani huenda tukapa Suluhisho juu ya eneo hilo ( hili ) kuwa Machinjioni kwa Vijana wanaoanza Kutajirika na Kufanikiwa Kimaisha.

Cc' Bujibuji Simba Nyamaume na nategemea sana Uchambuzi wako kwani 95% ya Maisha yako na hata Kulewa Kwako huwa ni eneo hilo hilo tena 'Sometimes' ukiwa na Ndugu zangu ( wa Kizanaki ) na Mademu zenu Wasioeleweka.
Waambie vijana wakitusua waache kudrive wakiwa tungi
 
sina uhusiano na mleta mada lakini ni nafahamu ni kweli eneo hilo mpaka kwenye daraja kituo cha bondeni ni hatari sana. kwa bagamoyo road sehemu nyingine ni kuanzia njia panda mbweni(mianzini) mpaka daraja la boko magengeni
Mimi pia sina uhusiano na mtoa mada na ninakupa experience ya 1997. Colleague wangu alitoka kupata mafao yake baada ya kushinda kesi TBL. Akanunua Hiace na alikuwa anendesha mwenyewe. Siku hiyo alikuwa amefanya interview ya kazi CRDB na akapita nyumbani kwake na akachukua fedha kidogo na kwenda kufurahi baada ya kushinda interview.

Akiwa na mwenzie na baada ya kunywa kiasi chao akataka kumrudisha interviewee mwenzie aliyekuwa anaishi Tegeta. Wakati huo barabara ilikuwa single lane na pale kwa Komba kilikuwa na Check point ya POLICE na Gate. Marehemu aligonga Geti kwa vile kwenye mida ya saa 5 kilikuwa halionekani vizuri kisha alifariki hapo hapo
 
Nakubaliana nawe 100% kwa hili kwani Yule Tajiri wa Kihaya alikufa hapo hapo akiwa Chakari na Kidemu ndani na huyu Dogo wa Juzi ( Mchagga ) aliyesafirishwa Jana na anazikwa leo nae alikuwa Chakari akitokea katika Harusi.

Na kwa Spidi Kali aliyokuwa nayo walipofika SUPA Lugalo Mdogo wake alimtaka ampishe ili aendeshe Yeye ila Marehemu akakataa.

Mdogo Mtu alipoona Kaka yake ( Marehemu ) hasikii na anaenda Spidi akaomba ashuke Kwa Komba ili atembee kwa Miguu hadi Kwao na amuache Kaka yake Cha Pombe na Mbishi aendeshe peke yake.

Aliposhuka tu akiwa anatembea pembezoni haikupita hata Dakika 5 akasikia Mlio Mkubwa hapo Mataa ambapo Lori aina ya Fuso ilikuwa imeshakokiwa na Kuigonga Gari ya Kaka yake ( Marehemu ) na alipowahi eneo la Tukio kuona kumetokea nini akakuta ni Gari ya Kaka yake imegongwa upande ule ule wake akiwa Kaumia vibaya ( ila Madereva Boda Boda wa pale wakimchomolea Simu na Wallet yake ) na kumuwahisha Lugalo Hospital ambapo alifia Njiani na sasa kuwa ni Historia.
Duh huyo mdogo wake ana bahati sana,vinginevyo angeendelea kubaki naye wangekufa wote
 
Back
Top Bottom