kukata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

    Asikudanganye Mtu popote pale ulipo kuwa kauli za Watu waliokufa namaanisha Marehemu wakizisema huwa hazitimii. Ni kwamba huwa hawatanii kabisa na wayasemayo hutokea na hutimia. Mwaka jana nilihudhuria Msiba Mmoja ambapo kumbe Marehemu wakati anakata Roho alisema akifa azikwe Dar es Salaam na...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Kutiwa nguvuni Mbowe isiwe sababu ya kukata tamaa. Tujipange tuwe na CHADEMA isiyokuwa mali ya watu

    Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama. Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu. My take...
  3. Kayombo Tips

    Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  4. N

    Bonde la kukata maneno

    Bonde la kukata maneno ni nini? Biblia inatuambia kuna wakati unafika hapa mbele yetu ambao Mungu atayaleta mataifa yote katika bonde lijulikanalo kama bonde la kukata maneno, biblia imeliita pia kama Bonde la Yehoshafau ukisoma kuanzia mstari wa 12. Yehoshafua maana yake ni...
  5. msovero

    Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  6. S

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

    Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

    Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
  8. kurlzawa

    Serikali na Bodi ya Mikopo (HESLB), naomba ufafanuzi wa utaratibu wa kukata pesa ya mwisho ya kujikimu

    Habari za mda huu wakubwa, Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo? Je, Rais samia ameamua kuiga...
Back
Top Bottom