jiko la mkaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    Tahadhari za matumizi ya jiko la mkaa

    Haushauriwi kujifungia chumbani ukiwa unalala au wakati wa kupika chakula wakati unatumia jiko la mkaa. Aina hii ya jiko huzalisha gesi yenye sumu inayoitwa Carbon monoxide (CO) ambayo huufanya mwili usipate kiasi cha kutosha cha hewa safi ya Oxygen inayohitajika kwenye upumuaji. Ikiwa...
  2. JanguKamaJangu

    Chanzo moto ulioteketeza maduka Njombe ni jiko la mkaa, walitumia kupunguza baridi

    Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi. Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
  3. Chachu Ombara

    Tabora: Jiko la mkaa laua watoto wawili kwa kukosa hewa ya kutosha

    Watoto wawili wa familia moja katika kijiji cha Usuhilo Manispaa ya Tabora, wamefariki dunia kwa kukosa hewa ya kutosha baada ya wazazi wao kuwasha jiko la mkaa na kuliweka ndani ili waote moto na kujikinga na baridi. Watoto waliofariki ni Amani Athumani, (1) na Zainabu Athumani (1). Kamanda...
  4. beth

    Geita: Jiko la mkaa laua Mama, watoto wawili

    Mkazi wa kijiji cha Busanda kata ya Busanda wilayani Geita Unice Kulwa(25) na wanawe wawili wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa kutokana na kuingiza jiko la mkaa alilokuwa akipikia maharage kwenye nyumba waliyolala. Mbali na vifo hivyo pia baba wa familia hiyo Kulwa Kamili amenusurika kifo...
  5. Newbies

    Kwanini jiko la mkaa ukiwa ndani linaweza kupelekea vifo

    Imekuwa sio ajabu kusikia watu wamekutwa wamefariki ndani baada ya kulala na kuacha jiko la mkaa likiwaka. Lakini swali ambalo watu wamekuwa wakijiuliza ni, nini hutokea na kusababisha kifo pale mtu anapoacha jiko la mkaa likiwa linawaka huku akiwa amefunga madisisha na vyanzo vingine vya...
  6. mtimawachi

    Kuna wanawake wana temperature jamani!

    Hii mada haipo hapa kwa ajili ya kumdhalilisha mtu au jinsia fulani.Ila samahani kwa watakaokwazika. Nakumbuka mwaka fulani(kabla sijaoa) nilitoka mkoani kuja dar kikazi.Nilipomaliza nikaona niende buza kwa lulenge kumtembelea kaka(mtoto wa baba yangu mdogo).Nilipofika kwa kaka tukawa katika...
  7. Nyendo

    Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

    Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka. Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali. Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk. Hebu tueleze ilikuwaje.
Back
Top Bottom