filamu

  1. Intelligent businessman

    Filamu ya JOHN WICK 4, kuachiwa tarehe 24/3/2023

    Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back. Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu ya John wick itaachiwa tarehe 24/3/2023. Moja ya vitu ambavyo vimeonyesha filamu hii itafanya...
  2. JanguKamaJangu

    Staa wa filamu Bruce Willis ana changamoto ya Afya ya Akili

    Familia imeweka wazi kuwa Staa huyo aliyetamba katika filamu nyingi zikiwemo Die Hard, The Sixth Sense na Armageddon anasumbuliwa na ugonjwa wa #FrontotemporalDementia unaomfanya kupoteza kumbukumbu na ufahamu wa mambo mengi. Imeeleza kinachomsumbua Willis (67) ni mwendelezo wa hali iliyomtokea...
  3. Thailand

    Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  4. IamBrianLeeSnr

    Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Davos, Uswizi akutana na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  5. kwisha

    Furaha Iko Wapi by 20% ndo filamu yangu bora ya Kitanzania

    Katika Maisha yangu nimeona bongo movie nzuri lakini sijawahi kuona filamu nzuri ya kitanzania zaidi ya furaha iko wapi by 20%.
  6. JanguKamaJangu

    Iran: Nyota wa filamu aliyeshikiliwa kwa kuunga mkono maandamano, achiwa huru

    Taraneh Alidoosti (38) alishikiliwa mwezi mmoja uliopita kutokana na kuungana na wanaopinga uwepo wa Sheria ya kuwataka Wanawake kutembea wakiwa na mavazi yaliyofunika vichwa vyao. Ameachiwa kwa dhamana kosa lake likiwa ni kuchapisha maudhui ya kuhamaisha uchochezi ambapo waigizaji wenzake...
  7. BARD AI

    Wewe ni mpenzi wa filamu za Superman? Henry Cavill hatoshiriki tena kwenye filamu hizo

    Muigizaji Henry Cavill ameondolewa kama Superman na mabosi wapya wa Studio za DC, chini ya miezi miwili baada ya kutangaza kurudi kwenye nafasi hiyo. "Nimekuwa na mkutano na James Gunn na Peter Safran na ni habari za kusikitisha, kila mtu. Baada ya yote, sitarudi kama Superman," amesema Cavill...
  8. Teknocrat

    Filamu ya Mapanki - Darwin's Nightmare

    Baada ya kuona Yule muuza silaha haramu nguli duniani Victor Bout ameachiwa na US, nikakumbuka ile docudrama ya Darwins Nightmare, filamu ya mapanki. Ikabidi niitafute upya niiangalie baada ya miaka zaidi ya kumi. Hivi wazee Mwanza , tupeni basi historia fupi ya kipindi kile, Mwanza...
  9. MakinikiA

    Waziri Makamba anaihujumu Royal Tour ya Rais Samia iliyotumia mabilioni

    Salama wandugu. Nianze tu kwa kifupi Royal tour msingi wake mkubwa ni kuvutia wawekezaji. Msingi wa mwekezaji namba moja ni nishati,sasa makamba anachofanya ni kumhujumu bosi wake umeme wake wa kwikwi usioeleweka. Wanafikiri wanawakomoa wananchi kumbe wanamkoa bosi wao. At the end of time...
  10. aka2030

    Tamthilia ya Siri ya mtungi (wahapahapa) ndio filamu bora kuwahi tokea Tz

    Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi. Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
  11. BARD AI

    Filamu ya Kitanzania yatajwa kuwania Tuzo ya Oscar, ni ya pili tangu mwaka 2002

    Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo. Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
  12. JanguKamaJangu

    Filamu ya “The Royal Tour” iliyotafsiriwa Kijapan yazinduliwa Japan

    Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour" Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
  13. BARD AI

    TCRA: 80% ya tamthilia zinazorushwa kwenye TV ni za nje

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevihimiza vyombo vya habari kuangalia uwezekano wa kutoa nafasi kwa tamthiliya, muziki na michezo zenye maudhui ya ndani ili kulinda utamaduni na nembo ya Taifa. Akizungumza kwenye mkutano wa wadau mbalimbali wa vyombo vya habari, sanaa na michezo...
  14. Edwardo Ommy

    Ntafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia

    Ni siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu. Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo. Lengo ni kutafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia zijazo. Edwardo...
  15. Edwardo Ommy

    Haya ndio mambo Muhimu ili uwe muigizaji mzuri wa Filamu

    Ni swali ambalo mara nyingi naulizwa sana na watu wanaogiza au wenye matamanio ya kuigiza. Jibu langu huwa ni ndefu na linaloshirikisha sekta nyingi sana za filamu. Secta zenyewe ni kama uandishi(miswada na utunzi wa stori), uongozaji(directing), upigaji picha, utayarishaji(production) na...
  16. S

    SoC02 Waandaaji wa Filamu, mnakwama wapi Filamu za Uhuishaji (Animations)?

    Habari za wakati huu wana JamiiForums. Leo napenda kuongea na waandaaji wa filamu Tanzania. Kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mfanyayo ya kuielimisha na kuiburudisha jamii. Pia, niwapongeze kwa mapinduzi makubwa mnayoyafanya kwenye tasnia ya filamu nchini. Teknolojia inawasaidia sana kuandaa...
  17. May Day

    Tasnia ya Filamu Tanzania inakosa "Master mind" wa kuitazama Bongo muvi kibiashara

    Kuna wakati utawasikia baadhi ya Wasanii wa Bongo fleva wakifikia hatua ya kuwashutumu wale waliojitokeza na kukaa katikati yao na soko. Wanachosahau Wasanii wengi ni kuwa kuwa na kipaji ni jambo moja na biashara ni jambo lingine. Ili kipaji kiwe biashara lazima kuwe na Mfanya biashara. Uwezo...
  18. BARD AI

    Oparesheni uhalifu yanasa silaha 997

    JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
  19. BARD AI

    Obama ashinda tuzo ya Emmy kama Msimuliaji Bora wa Filamu

    Rais huyo Mstaafu amefanikiwa kunyakua tuzo hiyo kupitia filamu ya 'Our Great National Parks', Makala inayohusu hifadhi za Taifa iliyotolewa na Emmy, filamu hiyo inaoneshwa na Netflix. Obama anakuwa Rais wa pili wa Marekani kushinda tuzo ya Emmy, akitanguliwa na Dwight Eisenhower, ambaye...
  20. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    The Hidden Tanzania: Filamu itakayofuata baada ya The Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania. Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza...
Back
Top Bottom