excel

Microsoft Excel is a spreadsheet developed by Microsoft for Windows, macOS, Android and iOS. It features calculation, graphing tools, pivot tables, and a macro programming language called Visual Basic for Applications. It has been a very widely applied spreadsheet for these platforms, especially since version 5 in 1993, and it has replaced Lotus 1-2-3 as the industry standard for spreadsheets. Excel forms part of the Microsoft Office suite of software.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
  2. T

    Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  3. NetMaster

    Ni kwanini watu wengi hasa wafanyabiashara bado wanakomaa na excel badala ya kutumia Microsoft Access yenye ufanisi zaidi?

    Kwa wale wasio na mambo mengi mfano wanaandaa tu ripoti ya mauzo excel inawafaa lakini utawakuta kuna hawa wafanya biasahra wana mafaili kibao ya mauzo, madeni, stock, matumizi, n.k. bado wanatumia excel, yani kitu kimoja wanajaza mara tatu tatu au zaidi Kwanini hakuna mazoea ya kutumia...
  4. R-K-O

    Naombeni mnisaidie formula ya excel

    Naombeni mnisaidie formula ya kurahisisha kupata haya majibu kwenye excel. Kila Box lina chupa 3, chupa 1 ni 0.1, chupa 2 ni 0.2, chupa 3 ni 0.3 sawa na box. 1 ni box moja, 1.1 ni box 1 na unit 1, 2.2 ni box 2 na unit 2, n.k. Box zikiwa 10 zikitoka 4 jibu liwe 6 Box zikiwa 8 zikitoka 3.3...
  5. H

    Karibuni kuijaribu - Microsoft Excel translator add-in

    Habarini wakuu Nimewatengenezea MS Excel add-in ambayo inakusaidia kufanya translation, mfano kuna wakati unaweza kuwa na column ambayo ipo na rows nyingi ambazo content zake zipo kwa kiingereza na unataka kuzitafsiri kwenda kiswahili au lugha nyingine. Si rahisi sana kufanya hivyo kwa kuandika...
  6. Mpinzire

    Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

    Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%! Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine...
  7. SAFCo_Academy

    Advanced ms. Excel for accountants and auditors

    Training Training Training Step Ahead Financial Consultants Limited would like to invite all interested Accountants and Auditors to attend this important training on Advanced Excel for Accountants and Auditors which is scheduled as follows:- Dodoma- from 5th-9th Sept 2022 Morogoro- from...
  8. Orketeemi

    Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel

    Wakuu habari . Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel. Nikiwa nimepanga majina ya wanafunzi, nimeweka marks za kila somo, jumla, wastani, Daraja la ufaulu na , nafasi aliyoshika kila mwanafunzi. Je nikitaka majina yajiapange kulingana na ufaulu wao nafanyaje? Yaani Kama John kwenye...
  9. Biashara Nafuu

    16 Business Excel Workbooks

    How much will you make? How much do you require to start? What do you require to start? Get detailed Excel Workbooks answering the above questions about the following businesses: Restaurant General Hardware Fumigation Service Sanitary Bins Services ( Small) Motorcycle Spare Parts Retail...
  10. SAFCo_Academy

    Advanced excel training and preparation of financial statements

    DODOMA mpo? Usikose Bonus hii ya Training ya Excel ambayo pia utapata Fursa ya kujifunza Kuandaa Mahesabu ya Kiuhasibu (Financial Statements) ... Katika Training hiyo tutaanza Kwanza na Advanced Excel then tutakuja sasa kwenye application of Excel in Financial Statements and Book keeping of...
  11. mgendege

    Msaada wa kusave bidhaa kwenye Excel Sheet

    Yaani namna kuweka bidhaa mfano umeingiza chupa za maji 20 zikitoka chupa mbili iwe ina onyesha automatiki bei ya mebaki mangapi jumla ya pesa ya kuuzia na kujumlishia atakama mtu akiwa ana kuuzia yuko mbali mauzo una ya ona kwenye computer yako na wewe bila ya kumpigia kuwa ume uza nini na nini
  12. pandagichiza

    Msaada: Jinsi ya kutuma sms kutoka excel

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake Nimeshatengeneza excel file yenye collum Jina|Phone number|SMS Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
  13. Mesorphine

    Msaada juu ya kuprint data zote kwenye drop down list kwenye excel 2013

    Habari ya uzima wakuu katika jukwaa la technolojia. Naomba mwenye ujuzi wa kwenye ms. excel anisaidie jinsi ya kuprint data zote kwenye “drop down menu” automatically kwa kutumia button moja. Au hata kwa kutumia VBA code azinisaidie then kuziset kwa kuedit sheet ya drop down list na cell...
  14. SAFCo_Academy

    Masterclass training on financial reporting with advanced microsoft excel

    COURSE DETAILS Step Ahead Financial Consultants (SAFCO) Ltd invites ALL Accountants and Auditors for the Financial Reporting with Advanced MS Excel training scheduled as follows: DATES: 11th November 2020 - 14th November 2020 DAYS: FOUR (4) DAYS TRAINING FROM WEDNESDAY TO SATURDAY...
  15. sky soldier

    Wachawi wa excel nisaidieni hili zoezi pasua kichwa nawezaje kulifanya

    Habari zenu wakuu, natumaini mu wazima. Kuna zoezi fulani nataka kulirahisisha excel Ni kwamba nina sheet mbili, sheet ya pili ina list ya vitu navyotaka kuviweka kwenye sheet ya kwanza endapo vimeuzika kwa hio siku. kwa sasa nachofanya ni kwamba mfano nimeuza kiberiti, huwa naenda kwenye...
  16. Dr. Zaganza

    Tumia mbinu hii, Kupunguza gharama za ujenzi

    Baada ya kuona watu wengi wanaumiza kichwa juu ya gharama za ujenzi, kuanzia online hadi offline, nimeona kushare uzoefu wangu nanyi ni jambo muhimu.Kabla ya kukupa mbinu , nitangulize ushauri huu. Jambo la muhimu kuliko yote la kuelewa kabla hujaanza ujenzi ni kuwa, ujenzi ni mradi endelevu...
Back
Top Bottom