business plan

A business plan is a formal written document containing the goals of a business, the methods for attaining those goals, and the time-frame for the achievement of the goals. It also describes the nature of the business, background information on the organization, the organization's financial projections, and the strategies it intends to implement to achieve the stated targets. In its entirety, this document serves as a road-map (a plan) that provides direction to the business.Written business plans are often required to obtain a bank loan or other kind of financing. Existent templates and guides, such as the ones offered in the United States by the Small Business Administration can be used to facilitate producing a business plan.

View More On Wikipedia.org
  1. jaomjazymee

    Business plan and proposal of simple Hotel

    Habari za muda huu wadau. Pole kwa majukumu Niko hapa naomba ushauri kuhusu biashara ya min Hotel. ningependa kujua kuhusu; -jinsi ya kuandika business plan na proposal -location kwa mkoa wa dar - mtaji kiasi gani kwanzia kiwanja, kujenga, na all necessary equipments. -risk zitokanazo na...
  2. F

    Kununua ndege bila business plan ni kufuja fedha za maskini

    Biashara ya ndege ni moja ya biashara ngumu zaidi duniani. Hii ni biashara yenye mahesabu makali. Ni biashara ya kimataifa. Kufanikisha biashara ya ndege tunahitaji timu yenye weledi mkubwa sana kibiashara. Wazungu Afrika Kusini wamepata changamoto kubwa na hasara pia, Wanaigeria, Wamisri na...
  3. F

    Tusinunue ndege bila kuwa na business plan. Rwanda Air waanza safari za Paris

    Tumekuwa tukifurahia kununua ndege za gharama kubwa na serikali yote kufurahia kwenda kuzipokea uwanjani kwa bashasha na sherehe kubwa. Kinachofuata baada ya hapo ni kupaki ndege viwanjani miaka kadhaa baada ya kuzinunua. Lakini jirani zetu Rwanda wana business plan na ndege zao. RwandAir to...
  4. Tommy 911

    Business plan ya restaurant

    Habarin wana jf..... Mimi ni kijana wa miaka 22 ni mwanachuo nina business plan kuhusu mgahawa hivyo napend kupata mtu serious amabe tutaweza kueka plans ili kufanikisha iwe kama partnership. If interested pm me nikupe business plan niliyoandaa ili tuweze kuwekan sawa Pia nahitaj ushauri...
  5. Mung Chris

    Jifunze namna ya kuandika Business plan ukiwa Dar es salaam

    Tar 10-11/01/2023 saa 3-9 jion Dar es salaam, Ilala Bungoni mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mafunzo ni bure. 0788811136
  6. Mung Chris

    Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
  7. P

    Fursa: Business plan sekta ya kilimo

    Wasaalam ndugu zangu, ninahitaji kupata huduma ya mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandika business plan za sekta ya kilimo.
  8. Mung Chris

    Msaada kwa wanao hitaji kuandika Proposals, research, essay na Business plan

    Tunatoa maelekezo na msaada kwa wanachuo na wasio wanachuo ambao wanahitaji kuandika Proposals, business plan, Research na Esay. Haijalishi ni ya conpetition au ya submission ambapo hakuna competition. Wasiliana nasi twitter @trade_ip_const au kwa email: tradeandintellectualpropertyc@gmail.com...
  9. Brojust

    Karibu nikuandikie sponsorship proposal, company profile, business plan, n.k

    Karibuni GETRICH BUSINESS CONSULTANTS wataalamu wa kuandika na kushauri juu ya uandishi bora wa PROPOSAL, COMPANY PROFILE, BUSINESS PLAN na kadharika. ofisi zetu zipo buguruni Rozana (Kwenye jengo la Rozana Complex frame no 1.) Kwa maelezo zaidi namba zetu ni 0710 782874
  10. Biashara Nafuu

    16 Business Excel Workbooks

    How much will you make? How much do you require to start? What do you require to start? Get detailed Excel Workbooks answering the above questions about the following businesses: Restaurant General Hardware Fumigation Service Sanitary Bins Services ( Small) Motorcycle Spare Parts Retail...
  11. Davidson_cbm

    Nawezaje kuandika business plan

    Nawezaje kuandika business proposal
  12. N

    Naomba msaada wa Business plan template/sample

    Nahitaji ili niweze kuedit na kuweka taarifa zangu. Nimejaribu kupitia Google nimeona kuna hatua kadhaa za kufuata zenye kutuliza kichwa kisawasawa. Lengo la hii business plan ninayotaka kuiandaa ni kwa ajili ya kuombea mkopo Halmashauri wa biashara ya Duka la mahitaji muhimu ya nyumbani...
  13. The Consult

    Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)

    Mpango wa Biashara (Business Plan), ni nyenzo muhimu katika mafanikio ya biashara. Mpango wa Biashara humsaidia mjasiriamali ku-shape wazo lake la biashara na kulifanya kuwa fursa (Opportunity). FAIDA ZA KUWA NA MPANGO WA BIASHARA Hutoa taarifa za msingi juu ya biashara; zinazomuwezesha...
Back
Top Bottom