Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania
Mwandishi: MwlRCT
Utangulizi
Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile:
Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
Mauzo ya Biashara za Mtandaoni yanakadiriwa kufikia Kiasi cha dola za Kimarekani Trilioni 6.3 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 10.4 ikilinganishwa na mwaka 2022.
Ongezeko kubwa zaidi linatajwa kutokea ifikapo mwaka 2026 ambapo zaidi dola za kimarekani Trilioni 8.1 zitakusanywa kutokana...
Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi.
Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
Huang Wei
China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo.
Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
Biashara za network marketing zipo nyingi sana, makampuni haya yapo mengi sio tu Tanzania, duniani kote. Wanashawishi watu watafutaji, wenye nia ya kufanikiwa kwenye maisha kujiunga na hivyo wao kuwatapeli kwa kutumia nia njema za hawa watu na tamaa yao ya kufanikiwa. Wote tunatafuta, watu wa...
Siku ya Jumanne, kupitia Mtandao wa Clubhouse, Jamii Forums tutaendesha mjadala anuai kuhusu masuala mazima ya Biashara na Mtandao.
Mjadala huu wa wazi utawahusisha wataalam, wadau na watu mbalimbali wanaotumia au kuguswa kwa namna moja au nyingine jinsi Biashara zinafanyika mtandaoni.
Ungana...
Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology).
Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
Katika Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Fausine Ndugulile amesema watahakikisha maeneo yote yanakuwa yanatambulika kwa PostCodes
Pia itawezesha suala la Posta Kiganjani ili mtu asiwe anaenda posta kufuata barua bali zimfuate...
Habarini za asubuhi wanajamvi,
Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri wengi wamechukua njia hiyo kuhakikisha kazi zao zinaenda.
Sasa naangalia maisha yangu kama Mbongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.