bananga

Bananga is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Ramadhan Cup yaanza kutumiwa na CCM. Ally Bananga apewa nafasi, amshukuru Rais Samia kwa Ramadhan Cup

    Michuano ya soka iliyochukuliwa kama burudani kwa wale waliofunga Ramadhan, huku wakisubiri daku. Sasa ni Rasmi imegeuka na kuwa mipango ya kampeni ya CCM, bado hatujajua kama jambo hili ni Bahati mbaya au ni kitu kilichopangwa na waandaaji, na bado hatujajua kama timu zote zinazoshiriki...
  2. Notorious thug

    Ally Bananga Katibu uenezi CCM Dar, ni mfano wa Wanasiasa wenye Uelewa mdogo katika Siasa

    Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati...
  3. Notorious thug

    Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  4. figganigga

    Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

    Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi. Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob...
  5. DodomaTZ

    Ali Bananga: Rais Samia amebakiza miaka 7, anatoa darasa kwa kiongozi ajaye

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi ustaarabu wa mama yetu. “Ni miaka 7 ya mafunzo kwa ajaye, tunaamini anayekuja ataendeleza...
  6. MulegiJr

    Mahitaji ya kisiasa na kibinadamu kwa Ally Bananga

    Mtaalum ya Masuala ya Psychologia, Abraham Maslow Mnamo mwaka 1943, Alikuja na Majibu ya utafiti wake, Katika Mahitaji ya Binadamu, aliwela Wazi mahitaji Matano(5), kama nilivyoonyesha hapo chini. Ally Bananga Ally Bananga Kuna watu wanamchukulia mtu wa kawaida sana, na kutamani hata kufifisha...
  7. M

    Ally Bananga: Nikifika mbinguni (peponi) nikikuta Mama Samia hayupo natoka peponi

    Kunausemi unasemaga ukistaajabu ya Musa. Leo katika jiji la Arusha aliyekuwa kamanda wa chama cha Demcrasia na Maendeleo Chadema Ally Bananga alirudisha kadi ya chama hicho katika mkutana mkubwa wa adhala wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Hassan, Kamanda huyo wa zamani...
  8. seedfarm

    Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

    Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ally Bananga yupo Sahihi; Familia ndio jambo la kwanza

    ALLY BANANGA YUPO SAHIHI; FAMILIA KWANZA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kwa watu wasiojua maana ya familia, wasiojua maana ya ndoa ni rahisi kumponda na kumkosoa vikali Ally Bananga. Lakini kwa wanaojua maana ya familia, wanaojua maana ya Mke/mume na watoto ambao ndio familia yenyewe watamuunga...
  10. Nigrastratatract nerve

    Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

    "Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama, Kuliweka hili kwa...
Back
Top Bottom