Ally Bananga Katibu uenezi CCM Dar, ni mfano wa Wanasiasa wenye Uelewa mdogo katika Siasa

Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,817
10,594
Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati huu.

Ally Bananga hana uelewa wowote na Sheria, Siasa, Diplomasia ila ni bingwa kwenye kubwabwaja ujinga na upumbavu.CCM na UVCCM kama huyu ndio kiongozi wenu kuna siku waasisi wa TANU watafufuka na kuwachoma Moto
 
Wanasiasa wote huwaga na uelewa mdogo sana wa kili, hata wale wenye akili wakiingia tu kwenye siasa huwa wanazivuruga kidogo ili kufit kwenye siasa.
 
Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati huu. Ally Bananga hana uelewa wowote na Sheria, Siasa, Diplomasia ila ni bingwa kwenye kubwabwaja ujinga na upumbavu.CCM na UVCCM kama huyu ndio kiongozi wenu kuna siku waasisi wa TANU watafufuka na kuwachoma Moto​
Watu majuha kama Bananga ndiyo vitendea kazi vya CCM
 
Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati huu. Ally Bananga hana uelewa wowote na Sheria, Siasa, Diplomasia ila ni bingwa kwenye kubwabwaja ujinga na upumbavu.CCM na UVCCM kama huyu ndio kiongozi wenu kuna siku waasisi wa TANU watafufuka na kuwachoma MotoView attachment 2720870
Toka lini uliona marioo fulloption anakua na akili,huyo analelewa hajui hata bei ya chumvi
 
Back
Top Bottom