Mahitaji ya kisiasa na kibinadamu kwa Ally Bananga

MulegiJr

Senior Member
Sep 5, 2018
125
88
Mtaalum ya Masuala ya Psychologia, Abraham Maslow Mnamo mwaka 1943, Alikuja na Majibu ya utafiti wake, Katika Mahitaji ya Binadamu, aliwela Wazi mahitaji Matano(5), kama nilivyoonyesha hapo chini.

Ally Bananga Ally Bananga Kuna watu wanamchukulia mtu wa kawaida sana, na kutamani hata kufifisha kwa Makusidi Mazima ya Umaarufu na Wajihi wake katika Sura na Duru za kisiasa.

2020 BinamuBananga alikuwa ni Campaign Manager wa Mgombea Urais wa CDM ni nafasi kubwa sana katika imani na weledi kwa chama kama CDM...

Unahitaji mambo ya fuatayo kuwa kwenye Nafasi ya Bananga 2020,

1. Iweze kuwa maarufu kwa Uwezo wa kuongea na Kujenga Hoja,

2. Utegeneze imani kwa Mgombea kitu ambacho siyo rahisi kupata na kwa Nature ya Mgombea kama Lissu.

3. Unatakiwa kuwa na imani kwa wana CDM nchi nzima.

Mambo haya Bananga alikuwa nayo ndo maana akapewa nafasi ile katika wakati ule, amakutana na watu mbali mbali amepata Fursa nyingi na ambazo alianza kuzipoteza pole pole kutokana na kutokuwa kwenye Uwanja wa Siasa.

Bananga amevuka mahitaji mengi ya kibanadamu, chakula, mavazi na Umaarufu kwa Sasa anahitaji mambo makuu matatu tu.
1. Upendo kwa Familia yake, Bananga kabla ya jana alikuwa mbali na mke na familia yake, anahitaji kurejesha upendo(love and belonging), Mke ni Msaliti CDM yeye ni nani kama siyo mke wa Msaliti na mke pia atakuwa anamuona Msaliti, reconnecting the family.

2. Heshimu, Kutambulika na anahitaji uhuru kwake, familia na Rafiki zake wa Zamani kama vile Msando, Mopao na wegine wengi ambao ilikuwa ni Faraji kwake kwendlea kuwa nao, anahitaji Status kwa level yake (which I think, he must be wrong).

3. Usalama, anatamani kumiliki na kuwa na vyakwake, kuwa kiongozi na kuwa na uhakika wa maisha, uhakika wa kesho yake.

Iliondoka Lowasa kwa sababu moja kubwa ambayo #Selfactualization, alikuwa na kila kitu lakini alikosa nafasi moja tu, kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitakiwa kuipata na akaitafuta CDM kwa sababu alikosa alitakiwa kurudi alikotoka maana alichokitafuta kakikosa na hana namna tena.

Ni ukweli usiopingika Bananga, anatamani kuiona kesho yake kwenye siasa, wengi wanaweza Sema alitakiwa kusubiri, lakini kumbuka kila Mmoja ana mapito yake (Route of success), watasema tumemfua ndo maana kaondoka, Ni kweli alikuja mzee kaondoka kijana, hiyo ni Human nature kubadilika kulingana na mahitaji ya Dunia.

Bananga ni moja kati ya wengi wanaogopa kusemwa kama Bananga, lakini kuna siku woga ukiisha wataondoka pia.

Nb. Tunahitaji kutegeneza vya kwetu wenyewe, tupende vya kwetu.
 
Siasa ni kama ajira tu, vyama ndio waajiri wenyewe...

Ukichoma mahali hapa, unahamia pale n.k
 
Wapi nimeongelea kuhama chama
Kama umeolewa tafuta mchepuko ukupunguze mawazo
Una stress

Nitafute mchepuko halafu mume wangu nikuachie wewe ili akufanye nini🙄🙄
Una stress na Bananga kama vile mkemwenza
 
Nitafute mchepuko halafu mume wangu nikuachie wewe ili akufanye nini🙄🙄
Una stress na Bananga kama vile mkemwenza
Huna mume wewe
Muda wote upo jf kuandika ushubwada..
Tafuta bwana akutoe stress
 
Huna mume wewe
Muda wote upo jf kuandika ushubwada..
Tafuta bwana akutoe stress

Wewe unakuwaga wapi huo muda wote unaniona jf

Kuwa Jf ni moja ya kazi yangu, na wewe kama bado unahitaji mume kaongee na ambaruti akugee yule wake
Wangu hafanyi huo uchafu
 
Wewe unakuwaga wapi huo muda wote unaniona jf

Kuwa Jf ni moja ya kazi yangu, na wewe kama bado unahitaji mume kaongee na ambaruti akugee yule wake
Wangu hafanyi huo uchafu
Bimbo
Acha kuandika ujinga humu
Unasema kuandika ushubwada humu ndiyo kazi yako,sasa nakushauri katafute kazi nyingine.
Nenda hata pale ambiance ukauze papuchi na sio kuandika uharo humu
 
Bimbo
Acha kuandika ujinga humu
Unasema kuandika ushubwada humu ndiyo kazi yako,sasa nakushauri katafute kazi nyingine.
Nenda hata pale ambiance ukauze papuchi na sio kuandika uharo humu

Ukijuza wewe inakutosha

Uharo unao wewe uliyerabiwa kwa matumizi mabaya ya mwili

Ya wanawake uwaachiage wanawake, hizo mambo za kuforce na kujigeuza zitakugharimu
 
Ukijuza wewe inakutosha

Uharo unao wewe uliyerabiwa kwa matumizi mabaya ya mwili

Ya wanawake uwaachiage wanawake, hizo mambo za kuforce na kujigeuza zitakugharimu
Narudia,acha kuandika uharo wa kimataga humu.
 
Back
Top Bottom