Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa.
Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa...
Serikali ya awamu ya Tano katika dhamira yake kuu ya kujenga uchumi wa kati wa viwanda, imekuwa ikijenga miundombinu wezeshi ya kufika azima hiyo. Kutokana na miundombinu hiyo ukuaji wa maendeo ya watu unafanyika.Mathalani
Umeboreshaji wa sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti ya mikopo kwa...
Tangu Zitto Kabwe ajitoe ufahamu wa kuandika barua WB ili mkopo kwa ajili ya elimu tulioomba tusipewe, baadhi ya watu wameanza kuujadili usaliti wa Zitto Kabwe kwa Taifa lake kama uzalendo na yeye kujiona kafanya kitendo cha kishujaa kwa watanzania maskini.
Mashaka ya wengi ni kwa nini Zitto...
Ningelifuta vyuo vikuu vyote visivyokuwa na sifa ya kuitwa vyuo vikuu.
Ningelitengeneza vyuo vingi vya ufundi yaani VETA huku nikitoa kipaumbele cha hali ya juu kwenye ubunifu wa mitambo ya kutengeneza na kuchakata mazao ya kilimo.
Ningelifuta kidato cha sita badala yake mwanafunzi angemaliza...
Miongoni mwa mambo ninayoyaona kama hatari sana katika maisha ya watu ni " kubebwa na mfumo" badala ya kuandaa nao.
Watendaji wa Rais walio wengi wanaonekana kubebwa na mfumo na kwa maana hiyo utendaji wao hauakisi jona kwa moja kasi ya Mheshimiwa Rais.
Wananchi wengi wamejenga imani kubwa...
Serikali ya Tanzania itajenga Hospitali ya Rufaa wilayani Chato Mkoa wa Geita.
Akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii leo Jumatatu Januari 20, 2020, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kujenga hospitali hiyo...
Benedictor Gogogo (48) mkazi wa kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo na kitu chenye ncha kali hadi utumbo kutoka nje baada ya kutokea ugomvi kati yake na mke wake.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Alhamisi Januari 2...
Naandika waraka huu mfupi nikitambua kuwa kuna watu leo katika Nchi hii hawataki kusikia mawazo mbadala wala kukosolewa kwa mwenendo wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Mhe.Rais Magufuli chukua muda sikiliza pia mawazo mbadala kutoka kwa watu ambao hawakusifii tu!
Mhe.Rais Mstaafu Benjamin Mkapa...
Katika utawala wa Awamu ya Tano, kwa makandarasi mambo ni magumu sana.
Ukandarasi maana yake ni kufanya kazi kwa ajili ya mtu mwingine (sasa ni serikali), kimkataba.
Makandarasi ni kada iliyoenea nchi nzima, na kada hii imetumika sana katika kampeni Awamu ya Nne ili kuiingiza Awamu ya Tano...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaka gereji nchini kurasimishwa na kuwa sekta rasmi huku akihimiza mafundi waliokaa muda mrefu gereji kupatiwa vyeti kutokana na kuwa na ujuzi wa kutosha.
Chanzo Habari: Azam Tv
Endeleeni tu kuwafanya Watanzania wote (hasa wale wa Dar es Salaam ni...
Tulishuhudia Mara kwa Mara, huko siku za nyuma, watawala wetu wakitupa updates, tena wakati mwingine hata wakitupa taarifa nyingine za ziada kama vile wametuma wanasheria wetu mahiri kwenda igomboa ndege yetu iliyokamatwa huko Afrika Kusini kutokana na deni tunalodaiwa na mkulima wa huko...
Just imagine, yaani mkandarasi anasemwa na waziri kwa kuchelewesha kazi hadi mkandarasi anazimia kabisa, huu si uuaji jamani? Na ni udhalilishaji pia, hayo ni maoni yangu. Angalia video hapo mwishoni kabisa.
---
Mkurugenzi wa kampuni ya SCOL Building Contractors Limited Vicent Massawe...
Nashauri iandaliwe listi ya watumishi, hasa wa umma wakurugenzi wa halmashauri, ziara zipangwe, na muhusika abanwe kuelezea mambo mbalimbali, tunajua wana mambo mengi hawawezi kuyakariri yote, lakini walazimishwe kuyajibu mbele ya hadhara.
Wakionekana kujaribu kufanikiwa kuyajibu tusiwaruhusu...
Ni muda tu ndio unawapa kiburi ukichanganya na vyeo. Wanadhani wamejificha sana na pengine wanadhani wayafanyayo hayajulikani.
Kwanza hakuna jambo baya na zuri kama system. Matendo huhifadhiwa na kuwekwa rikodi. System inaendeshwa na binadamu ambao ni dhaifu vile vile.
Hawa viongozi wetu iwe...
Aman iwe juu yenu wakuu,
Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa.
Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Tumekuwa tukiwasikia sana watetezi wa utawala huu wa awamu ya tano wakitetea sana uminyaji wa demokrasia unaofanywa na serikali hiyo kuwa ni sahihi kwa madai ya kutumia kivuli cha kuleta maendeleo ya nchi hii.
Mifano mikubwa wanayotoa hao watetezi wao ni kasi ya maendeleo wanayodai inafanywa...
Haina haja ya kulialia sana hata waziri Jafo alisema figisu katika chaguzi ni vitu vya kawaida sana hata Israel na Marekani vipo cha muhimu ni vyama vya upinzani kuonyesha ukomavu na kujiongeza kama walivyofanya Renamo au Unita
Wapinzani wanadeka sana juzi katekwa kiongozi wao huko hai na...
Chama hiki kinachosifika kwa kubadilikabadilika kama kinyonga na kinachojiendesha kisayansi kwa mfano ambao haupo popote duniani kwa sasa yaani hii awamu ya tano hakina ujanja zaidi ya kumtegemea DC wa hai, yule undercover wa TISS anayeenda kwa jina la eagle :D vuilevile RC wa Mbeya, RC wa DSM...
Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
Mkuu wetu tumeona jitihada zako kuanzia kutumbuwa kule bandarini na kushughulikia wakwepa kodi,kushughulikia waliovamia viwanja na ubomoaji hapa Dar es Salaam, kuzuiya vibali vya kuagiza sukari nje na kubana matumizi ya serikali.Nadhani ilikuwa lengo ni kuimarisha maisha ya wananchi na kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.