ajira na tenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Championship

    Muda ambao Mungu anafungua milango hakuna cha kuzuia, endeleeni kupambana kutafuta fursa za ajira na tenda

    Kuna miaka kama mitatu hivi nilipitia changamoto na fursa zikawa haziji. Nilikuwa natamani hata kupata kazi ya kulipwa chini ya milioni na haikupatikana. Sasa hivi hata siamini namna miaka mitano tu inavyoweza kubadilisha maisha ya mtu. Nikaendelea kuomba fursa karibu kila sehemu. Kumbuka nina...
  2. Musa Augustino Lweve

    Connection ya kusafirisha magari kwenda nchi jirani

    Kwa Majina Naitwa Musa Augustino Lweve, ni dereva wa magari Manual pia na Automátic. Lengo la kuleta mada kwenu ni kusaidiana. Nilikuwa naomba mwenye connection ya kusafirisha gari kwenda nchi jirani Kwa yeyote atayeweza kunisaidia namba yangu ni 0714290584. Asanteni
  3. ThisIsIt

    Matatizo ya sekretarieti ya ajira(PSRS)

    Kama umewahi kufanya application ya maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira portal utakubaliana na mimi huu ni mfumo wa kijinga sana kuwahi kutokea Just imagine wametangaza nafasi za kazi za Tutoria Assistant(Accounting and Finance). Wanataka mtu aliesomea ACCOUNTING AND FINANCE or BUSINESS...
  4. Mnyuke Jr

    Uhitaji wa ajira na tenda isiwe chanzo cha utapeli na kuingizana gharama zisizokuwa na msingi

    Wasalaaaam wakuu, Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
  5. Barackachess

    Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
Back
Top Bottom