ajira na kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thomali

    Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  2. Mwamba1961

    Dodoma: Vyumba vya kulala kwa tsh 13,000/=

    Habari wasakaji wa ajira, Kuna CHIMBO LA kulala , maeneo ya Nyerere square, Karibu na msikiti wa Nungwi... Bei ni 13000/= ila vitanda viko viwili , mkiwa wawili mnachanga 6,500/=...... Location ni hiyo alama ya bluu.
  3. darasani

    Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi. Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla. Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui...
  4. ThisIsIt

    Matatizo ya sekretarieti ya ajira(PSRS)

    Kama umewahi kufanya application ya maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira portal utakubaliana na mimi huu ni mfumo wa kijinga sana kuwahi kutokea Just imagine wametangaza nafasi za kazi za Tutoria Assistant(Accounting and Finance). Wanataka mtu aliesomea ACCOUNTING AND FINANCE or BUSINESS...
  5. L

    Natafuta Ajira

    Habari, Nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni. Umri: 21 Course: Marketing management Level: Degree Mahali: Ilala, Dar es salaam.
  6. The Sheriff

    Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  7. Peter Stephano 809

    Suala la ajira kwa vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee

    Na Peter Mwaihola Sio ajabu kwa sasa kupita mtaa mmoja na kukuta Video Library zaidi ya 20 ambapo kila baada ya nyumba 3 unakuta library. Hali hii inadhihirisha ni namna gani suala la ajira kwa Vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee. Kumekuwa na ombwe la Vijana wabunifu...
  8. A

    SoC01 Je, ni kweli tatizo la Ajira kwa Wanazuoni Wahitimu huchangia kudorora kwa uchumi nchini Tanzania?

    Utangulizi Kwa mtazamo chanya wa swali hilo tunaweza kujibu ni kweli, lakini tukiangazia mtazamo hasi tunaweza kutumia tatizo hilo kama fursa ya maendeleo ya kiuchumi. Je tunawezaje na kwa njia zipi? Basi Makala hii itaelezea mtazamo hasi kwa serikali na raia wake katika kupunguza tatizo la...
  9. J

    Dereva wa uber natafuta kazi

    Habari ndugu zangu Mimi ni dereva wa Uber natafuta gari ya kazi. Nina uzoefu wa Kazi zaidi ya miaka miwili ya Uber Nina account ya uber na bolt pia nina leseni class c pia gari iwe ya mkataba au hesabu niko teyari. Namba yangu ni 0624055653
  10. Mwl Samwel Mfaume

    Ombi la nafasi ya kazi ya Ualimu katika shule au taasisi yoyote

    Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya Jografia na Kiswahili. Kwasasa naishi Dar es Salaam, natafuta shule iliyopo mkoa wowote yenye uhitaji wa...
  11. C

    Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  12. alphaMAPHIE

    Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

    Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile. Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na 1...
  13. La Quica

    Naomba kazi Wakuu wangu mwenye connection

    Habari ya leo wakuu. Natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ninaomba yoyote mwenyewe kuweza kunisaidia kupata ajira hata Internship kwa kuanzia anisaidie hali ni ngumu mtaani, kazi na apply kila mara lakini sipati, hata nikiitwa kwenye interviews huwa nasubiri simu...
  14. rabson john

    Ninatafuta kazi ya Udereva

    Naitwa RABSON JOHN Naishi DAR ER SALAAM MABIBO NINA MIAKA 27 Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva. Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er Salaam Nina leseni ya udereva yenye madaraja haya. A.A2.B.C1.C2.C3.D.E pia napenda kuwaomba kazi ya...
Back
Top Bottom