Search results

  1. Fisherscom

    Happy Birthday To Me

    Leo ni siku maalum kwangu, ni siku ya kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru sana Mungu kunijaalia pumzi kuiona siku hii adhimu. Naomba uendelee kunijaalia afya, hekima na busara niendelee kukutumikia... Aaamin! HAPPY BIRTHDAY TO ME...
  2. Fisherscom

    Happy Birthday To Me

    Thank U God Almighty. Wadau leo ni siku yangu muhimu sana maishani. Its my Birthday. Lets celebrate. Pia ni siku maalum kuwajulisha members wa jukwaa hili kwamba namvalisha pete ya uchumba kichuna wangu fk tuliyeunganishwa na tarehe moja ya kuzaliwa. Karibuni sana tusherehekee pamoja. Happy...
  3. Fisherscom

    My GOD Kumbe Leo................

    Duh! Wadau huu ugumu wa maisha na wingi wa majukumu umepelekea kusahau kabisa siku hii muhimu sana katika maisha yangu....hii ni hatari aisee. Hadi kufika 2015 tutakuwa tunasahau mambo mengi ya msingi. Ni siku yangu ya kuzaliwa jamani. Lets celebrate together wandugu na jamaa.
  4. Fisherscom

    Ooh My God Today it's My Birthday! Thanx Lord

    Wana JF napenda kuwashirikisha furaha yangu. Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Hakika namshukuru Manani kunijaalia kufika siku hii muhimu katika maisha yangu nikiwa ni mzima wa afya tele. Yote haya si kwa ujanja wangu bali ni uweza wake yeye Allah na akiwa na sababu maalum kwani kuwa kwetu hai ni...
  5. Fisherscom

    Aah Lulu...! Angalia marudio ya kipindi cha 'mkasi' cha salama EATV kiko hewani muda huu.

    Kwa wale walio jirani na tv hivi sasa angalia Eatv muda huu mahojiano kati ya Salama na Lulu. Mtoto mdogo mambo mazito.
  6. Fisherscom

    Happy Birthday Fisherscom!!

    Habari wana jamii. Leo ni siku muhimu sana ktk maisha yangu kwa kutimiza miaka kadhaa hapa duniani hivyo nimeona ni vizuri nanyi wanajamvi tufurahi pamoja. Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kunijalia uhai na afya njema. Ahsanteni!
  7. Fisherscom

    Wizi huu mpaka lini???

    Jana nilikuwa safarini toka Dar kuelekea Mbeya kwa kutumia usafiri wa mojawapo ya basi la kampuni kubwa hapa nchini. Safari yetu ilikuwa nzuri toka Dar asubuhi hadi mida ya mchana saa saba tulishuka Ruaha Mbuyuni eneo la Al Jazeera kununua vyakula pamoja na kuchimba dawa. Abiria wote walishuka...
  8. Fisherscom

    Soko Laungua Mpanda

    Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba soko lililopo Mpanda mkoani Rukwa linalofahamika kwa jina la Buzega limeungua lote usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa kwa wafanya biashara wa eneo hilo. Hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kufariki. Naendelea kufuatilia taarifa za chanzo cha moto...
  9. Fisherscom

    "Tonight son we are Zulus!"

    An airplane is flying over the United States of America at night. The Pilot say: "Ladies and Gentleman the plane is loosing altitude and all the baggage must be thrown out". A little later ,the pilot says:"we are still loosing altitude,we must throw anything out that is in the cabin". Tha...
  10. Fisherscom

    Wale wa SHYCOM mpoo

    Siku zinapita na miaka inaenda,iwapo kuna member toka Shinyanga Commercial Institute humu ndani 2kumbukane jamani. safari za 'USHI',mambo ya 'mlingoti'.... Nasikia imekuwa ni chuo cha ualimu sasa,2habarishane!!!!!!
Back
Top Bottom