Ooh My God Today it's My Birthday! Thanx Lord

Fisherscom

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,763
764
Wana JF napenda kuwashirikisha furaha yangu.
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Hakika namshukuru Manani kunijaalia kufika siku hii muhimu katika maisha yangu nikiwa ni mzima wa afya tele. Yote haya si kwa ujanja wangu bali ni uweza wake yeye Allah na akiwa na sababu maalum kwani kuwa kwetu hai ni zawadi kubwa. Naendelea kukuomba ewe Muumba unizidishie umri zaidi niweze kukamilisha ninayotaraji.
Aamen!
 
Hongera sana. angalia usije ukawa furaha inaongezeka kwasababu unaingia umri wa kwenda disco na kunywa mvinyo kama lulu
 
Fisherscom kila la kweri katika siku yako hii ya kuzaliwa.

Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema akubariki na kukuwekea

wepesi katika kila kitengo cha maisha yako.

:flypig:....Happy Birthday....:flypig:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom