Search results

  1. Shishi

    Jamani am back.....kabinti kangu!!!

    Marafiki wangu wote wa JF najua pahala la kuwapata...chumbani humu kwa MMU...nimepotea siku nyingi kiasi.....sio kwa ubaya...jamani KULEA! kabinti kangu kamefikisha miezi sita jana....kazuri kweli!! wacha tu niendelee kulea..... hope nyote muwazima wa afya!
  2. Shishi

    it's a baby gal, thanks for the thoughts n prayers

    jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision. Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe hadi mshangae!mwahhhhhh
  3. Shishi

    Jamani na mie mnikumbuke katika DUA zenu!!

    Dear JF sisters n bros....( wakuchakachua, kuchakachuliwa na kuchakachuana), Jamani tukiendelea kumuombea Teamo na kabinti kake, Da Sophy na kadume ( another heartbreaker ahahha), may I send this request to you all.... safari yangu pia imefikia ukingoni. I have a scheduled CS for next wk...
  4. Shishi

    Habari ndo hiyo!!!!!!

    My dears.....when two become one things start happening....ahahahha and at a very fast rate.....sasa nawaletea habari njema..... kuna katoto katarajiwa.....InshaAllah december!!! so mkiona nimepotea kidogo mjue nimeenda shopping!!!!:-))))))))))))))
  5. Shishi

    mmm nimewamiss sanaaaaaaaaaaaaaa!!!

    Kuna wana JF wamepotea sana jamani..... where is Geoff, Chrispin, Bht, preta etc.......
  6. Shishi

    Am back!!!!

    my dear friends, thanks alot for your prayers and wishes for my big day....ehehehhe been married for 18 days now!!! Geoff, thanks a lot for starting a special thread for me...and for all of you who responded to it, am highly humbled. am back now....majukumu yamezidi u know but will try and...
  7. Shishi

    Enter user name and password to gain access...

    this is the ultimate anti-infidelity key! ehehehe
  8. Shishi

    One month from today...

    Hello dear JF, great thinkers. One month from today on the 10th April 2010.... I will officially quit the seasoned spinister's club. I have been the chairperson far too long, Club its time to let me go!!! Sasa kitchen party sijui tuifanyie wapi??? any suggestions?? Online kitcehn party...
  9. Shishi

    Haiti...nimechoka kabisa!

    Am tired of CNN and BBC and the rest.... enough of the graphic pictures of the Haitian disaster...can they focus on the relief efforts?
  10. Shishi

    Am back.....and rolling!!

    Hi good people? likizo ilikuwaje kwa wale walioenda vekesheni...fidel ;) and co.??? Yangu ilikuwa bomba...If you are reading this post, I want to thank the Almighty for your life and health today. lets be grateful for this privilege to witness the dawn of 2010. we are not special kuna wengi...
  11. Shishi

    Lingeri...english....culture

    Ndugu zetu waganda hao!
  12. Shishi

    Kumbu kumbu zingine we acha tu!

    Am hoping you all are doing very well in your different capacities...wapwa, mabinamu, masista duu, nk. I thought we should discuss this, memories of past rships.... am talking about not so pleasant memories. Kuna wakati tuliachana na mister mmoja hivi and i was so angry yaani kufikia kuwa...
  13. Shishi

    Red handed!!!

    Masanilo returned from work at a mortuary with a surprise to show his wife. His villagemate had died in an accident and his body had been brought in. He had never seen such a massive manhood! So he cut it off and took it home to show his wife. “You won’t believe this,” he said to his wife...
  14. Shishi

    Baada ya msiba...handling kids!

    Hope you all doing well. jamani naomba msaada..am not sure this is the right place for this but will go ahead..niwieni radhi! I lost my elder sister last year.. mwaka mmoja ulitimia July 20th, Mungu amrehemu. Its been hard sana coz of the circumstances which i beg not to discuss. kwanza sikuwa...
  15. Shishi

    Ukiandika wosia, Je? utamuonyesha jinsi ulivyoigawanya mali

    [/COLOR] Interesting...hivi are u supposed to share the details of your will na mkeo? and vice versa? ama kama mke anayo mali iloyoko katika jina lake, mume ana haki gani hapo? ama yatakuwa yale mambo ya surprise za JM na Diana Ross?? mnapoandika will mnashirikiana ama ni kimya kimya tu...
  16. Shishi

    If he's not getting it at home, he's surely getting it somewhere else???

    My friends and I were having a gal talk abt men and sex. They are married wajua napata shule sio kutoka JF tu LOL;). sasa mmoja wao the hubby had been working in Sudan so they wd meet every 1 or 2 months...and of course alikuwa hata amenunua chachandu for those days.. sasa bwana amerudi kenya...
  17. Shishi

    The Nile treaty....imepitwa na wakati!!!

    Wakuu leo najaribu siasa.....clap clap basiiiiiiiiiiiiiiiiiiii EGYPT is still vehemently opposed to changing the agreements over the River Nile, saying it will not compromise its historic rights or accept a reduction in its water share, water minister Mohamed Nasreddin Allam, said on Monday...
  18. Shishi

    My car, our car!! - Kaazi kweli!

    Shosty wangu mmoja kaolewa majuzi tu, haswa kamimba ndio kaloowasukuma kufanya mambo na wanaishi pamoja sasa. wote wenye kazi nzuri, kila mmoja wao ana gari, and all the basic requirements of a home. sasa juzi nimepeleka umbea huko... salamu za kupitiapitia tu. tukaburudika chai ya nguvu na...
  19. Shishi

    Handling finances in marriage.... advice

    Please naomba ushauri haswa kutoka kwa wale walio kwenye ndoa. How do u deal with finances kama nyote mna mapato...inakuwaje ndio musiingize migogoro coz of money issues??? u know wansema money is the root of all evil sijui kama kweli au la! I will appreciate alot!!!
  20. Shishi

    Wanaume kujikunakuna hadharani!

    Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa...
Back
Top Bottom