Habari ndo hiyo!!!!!!

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,242
39
My dears.....when two become one things start happening....ahahahha and at a very fast rate.....sasa nawaletea habari njema..... kuna katoto katarajiwa.....InshaAllah december!!! so mkiona nimepotea kidogo mjue nimeenda shopping!!!!:))))))))))))))
 
At this era of dot.com unatakiwa utuambie kabisa ni wa jinsia ipi, (ke au me), ili tuandae mazaga stahiki!

BTW, Hongera sana, upunguze kasi ya kunanihiino mwaya, december siyo mbali ati!
 
Mungu Mwenyezi na awe nanyi; tunwatakieni matarajio mema na inshallah tutaungana nanyi kusherehekea!:becky:
 
At this era of dot.com unatakiwa utuambie kabisa ni wa jinsia ipi, (ke au me), ili tuandae mazaga stahiki!

BTW, Hongera sana, upunguze kasi ya kunanihiino mwaya, december siyo mbali ati!

Bado sijajua jinsia....... soon inshaAllah
 
....Hongera bidada, naona JF ina wamama watarajiwa wengi mwishoni mwa mwaka huu.
Inshalaah Mungu atatusaidia kufika salama.
 
My dears.....when two become one things start happening....ahahahha and at a very fast rate.....sasa nawaletea habari njema..... kuna katoto katarajiwa.....InshaAllah december!!! so mkiona nimepotea kidogo mjue nimeenda shopping!!!!:))))))))))))))

Okay....wengine tunatarajiwa kupata paternity leave muda sio mrefu..
 
Congrats and Best wishes,

Naomba nipendekeze jina kwa PM utakapojua jinsi ya mtarajiwa wetu, Ok:A S 8:
 
Okay....wengine tunatarajiwa kupata paternity leave muda sio mrefu..

heeee bado hujafunga chapter tu?....Shishi ma dia hongera sana, wanasema mimba sio kazi, kazi kulea...kila la kheri watarajiwa wote wa JF.
 
Ahsante mami.....kaizer bado anajaza dunia lol
 
Back
Top Bottom