Kumbu kumbu zingine we acha tu!

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,242
39
Am hoping you all are doing very well in your different capacities...wapwa, mabinamu, masista duu, nk.

I thought we should discuss this, memories of past rships.... am talking about not so pleasant memories. Kuna wakati tuliachana na mister mmoja hivi and i was so angry yaani kufikia kuwa kuna mambo yalikuwa yananikumbushia yeye na kuniharibia siku. one of them was his checked jacket that he loved wearing ..yaani nilkuwa nikikutana na mtu amevaa something similar njiskia vibaya sana. I realised it was getting out of hand nilipokwenda ofisini kwa HR.... yaani wacha simu ya HR manager iite and the ringtone was the same one...duh yaani tumbo lilichemka wewe I was so disoriented sikuweza hata kumsikia HR alikuwa akisema nini.

what are some of your not so pleasent memories? It may be normal to have this but very unhealthy.....

leteni habari hapa!
 
Du huyu wa kwako alikuwa amekuingia mpaka kwenye mishipa ya damu na fahamu ...
 
Ha ha haaaaa, shishi bwana. Hii kiboko! i dont remember to experience such a thing.
 
Me hamnaga hizo nikimtosa natosa na mambo yotee! Naanza kuingiza mapya akilini
 
mapenzi kizungu zungu mapenzi haya tiba eheheh thanks god ulitupa kusahau la sivyo tungekuwa tunachanganyikiwa kabisa ..
 
Have you ever fallen in love?


mmm if you have never experienced love..hata kam ni one sided.... u can never tell what it is like to love..yaani maisha yako yote unakaa kujiuliza tumaswali why?????? haziishi!
 
Ha ha haaaaa, shishi bwana. Hii kiboko! i dont remember to experience such a thing.


kweli kabisa!!!! yaani nilikuwa napata kizungu zungu hivi...panic attacks za kimpango!
 
kwa jinsi ulivyomchukia huyo mwananchi nadhani ni proportion na ulivyokuwa ukimpenda.....kwani alikufanya nini weye mpaka ukisikia hata kiji-harufu cha nguru unamkumbuka na kuchukia kiasi hicho???
 
kwa jinsi ulivyomchukia huyo mwananchi nadhani ni proportion na ulivyokuwa ukimpenda.....kwani alikufanya nini weye mpaka ukisikia hata kiji-harufu cha nguru unamkumbuka na kuchukia kiasi hicho???


sikumchukia hata i was just angry sana tena sana!!!! basi tu i realised whne i had made him a priority in my life i was just an option in his!
 
Back
Top Bottom