Am back!!!!

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,242
39
my dear friends, thanks alot for your prayers and wishes for my big day....ehehehhe been married for 18 days now!!!

Geoff, thanks a lot for starting a special thread for me...and for all of you who responded to it, am highly humbled.

am back now....majukumu yamezidi u know but will try and be around more. watch this space for a baby shower invitation LOL!!!!

Nilitaka kuwaalika jamani lakini JF was down for a week around that time. All went very well. nashkuru sana.

to all of you, Mwenyezi mungu awalinde na kuwaruzuku vya halali!
 
KARIBU sana and wishes you all the best in your new marriage life.
Karibu sana shishi
 
my dear friends, thanks alot for your prayers and wishes for my big day....ehehehhe been married for 18 days now!!!

Geoff, thanks a lot for starting a special thread for me...and for all of you who responded to it, am highly humbled.

am back now....majukumu yamezidi u know but will try and be around more. watch this space for a baby shower invitation LOL!!!!

Nilitaka kuwaalika jamani lakini JF was down for a week around that time. All went very well. nashkuru sana.

to all of you, Mwenyezi mungu awalinde na kuwaruzuku vya halali!

Hongera kwa kuachana na ukapela karibu tena...JF...
 
Wooooow..
Karibu sana Shishi!
Nataraji familia mpya inaendelea vizuri, tunawatakia kila la heri besti!
Chunga sana mume dear!...wanabararuka kama mwana-swala usipomshika sawasawa!...huh!
 
Karibu kwenye game. Muombe mungu sana akujalie uvumilvu, hekima na busara kuweza kudumu kwenye game!
 
karibu sana Mrs nani hii tutaendelea kuombeana tuzidi kudumu katika ndoa zetu Amen
mungu akutangulie uyapate mazuri yote ndani ya ndoa yako
 
Congratulations and welcome back

Can u post Picha please

Duuuu can you post urs in this forum?

Mi nasikitika tu kila demu mzuri anaolewa mmmmhhh unlucky Masa! Ila ilikuwa nzuri sana, unakumbuka zile ngoma za kiasili? Nililewa nusuru Mzenji anipige na mwiko, maana baada ya kufika home badala ya kuweka nguo kwenye washing machine nikajikuta naziweka kwenye oven. Thanks Mzenj kunisamehe ama kweli pombe si togwa. Hongera Shi shi......are you expecting? mmmmmhhhh
 
PJimmy No I am not a homo...kiswahili ni ngumu ngoja nika edit hiyo post
 
Hivi Shishi mpendwa ndo ninii kumtoroka MUMEO just 18 days after marriage ama ndo hutaki mimba iingie:rofl:

Hongera sana....karibu kwen chama siye bado tupo tupo
 
Kaizer 18 days enough mimba kuingia...:gossip:

Siku hizi mimba zinaingia before married kwani kuna wenye macho ya husuda wanaweza wakamfunga bibie...

Chichi karibu sana hongera kwa uamuzi wa busara uliouchukua....kwani kuolewa ni bahati tumezidi kuwa wengi...ukitaka kuhakikisha mida ya lunch tembelea posta mpya hapa dar utaelewa wanawake walivyo wengi kuliko wanaume...hongera sana na mungu akujaalie uzae watoto utakaowatimizia mahitaji yao ya msingi....
 
Kaizer kakangu...wewe biologia ulisomea wapi.....mimba dakika ngapi ndio iingie.......tayari hapa!!! LOL
 
Duuuu can you post urs in this forum?

Mi nasikitika tu kila demu mzuri anaolewa mmmmhhh unlucky Masa! Ila ilikuwa nzuri sana, unakumbuka zile ngoma za kiasili? Nililewa nusuru Mzenji anipige na mwiko, maana baada ya kufika home badala ya kuweka nguo kwenye washing machine nikajikuta naziweka kwenye oven. Thanks Mzenj kunisamehe ama kweli pombe si togwa. Hongera Shi shi......are you expecting? mmmmmhhhh

Masa, mbona husomeki? why are you unlucky? si una mzenji jamani?hutaki warembo waolewe na wengine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom