Search results

  1. mwakajila

    Aunt Ezekiel utamu nje nje!

    Kioo cha jamii kikionyesha taswira yake halisi... Picha kwa hisani ya Shigongo (Global Publishers)
  2. mwakajila

    Kwa hili naipongeza Serikali...

    Jana katika majadiliano ya Bungeni PM alitoka kauli kwamba Uchakavu utatozwa kwenye magari yaliyozidi miaka 10 na si 8 tena....
  3. mwakajila

    hawa wabunge vipi?

    jana kuna baadhi ya wabunge wanataka kikundi cha baikoko aka khanga moko kifungiwe eti kinapotosha maadili ya mtanzania...hawa jamaa vipi shida zote hizi tulizonazo watanzania wanafikiri tutajiliwaza wapi?khanga moko wanatuburudisha na kutuliwaza vizuri sana...Jamani msitunyang'anye hata hiki...
  4. mwakajila

    bilioni 42 kutumika kwa mwezi...

    Serikali inampango wa kutumia kiasi cha shillingi 42billioni kwa mwezi ili kuepuka mgao wa umeme unaotegemewa kuanza hivi karibuni...matumizi haya ni kwa muda wa miezi sita Source: Tweet from Zitto Kabwe..
  5. mwakajila

    Sisi tusio na uwezo tutahemea wapi?

    Leo asubuhi nilikuwa ninamsikiliza msemaji wa TCRA akielezea kubadilishwa kwa mfumo kutoka analojia kwenda digitali huku akifafanua kwamba tunahitaji kuwa na ving'amuzi ili tuweze kuona chaneli mbalimbali kwenye runinga zetu.Nashindwa kuwaelewa hawa mabwana kuhusu kutuangalia sisi wa kipato cha...
  6. mwakajila

    Chanzo kingine cha mapato kwa serikali hiki hapa...

    Waheshimiwa wabunge wana allowance in total amounting to 5,000,000/= ambazo hazitozwi kodi...Well kwanini waheshimiwa msifikirie kutoza Kodi kwenye hizi allowance kama kweli mna nia ya kutusaidia sisi wananchi?. Mfano 5,000,000/= kodi yake ni 1,396,500*356(Idadi Ya wabunge)=497,154,000/= hii ni...
  7. mwakajila

    Namshukuru Waziri wa Fedha kwa kuwaingiza wasanii kwenye wigo wa kodi.

    Jana katika kipindi cha kusikiliza mapendekezo ya bajeti Waziri wa Fedha alisema kazi za wasanii zitapitia kwenye mikono ya TRA hii ni hatua kubwa sana ya kuwaingiza hawa wasanii wetu kwenye wigo huu wa kodi ili nao wachangie katika Pato la Taifa Letu..Napenda kumshauri Mh.Waziri kwamba bado...
  8. mwakajila

    Kama tunaandaliwa viongozi wa stlye ya kina nape basi taifa letu litapotea..

    Jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari TBC na nikaona nape nnauye akiongea kwa mbwembwe kwamba wanaohama CCM ni wanachama wa kawaida na si Viongozi wa CCM..Takfakuri yangu ni kwamba huyu jamaa ameshindwa kufanya analysis ndogo kwamba hawa anaowaita wanachama wadogo ndio wanaoijenga...
Back
Top Bottom