Kwa hili naipongeza Serikali...

mwakajila

Senior Member
Apr 2, 2012
188
29
Jana katika majadiliano ya Bungeni PM alitoka kauli kwamba Uchakavu utatozwa kwenye magari yaliyozidi miaka 10 na si 8 tena....
 
Aiseeeee baba yangu kuna kacorona kalikuwa kanauzwa m 12 showroom ngoja nikakaulizie tena huenda kikawa kameshuka bei
 
Jana katika majadiliano ya Bungeni PM alitoka kauli kwamba Uchakavu utatozwa kwenye magari yaliyozidi miaka 10 na si 8 tena....

wakati serikali inafanya maamuzi haya ifikirie pia kupanua madampo, kuongeza uwingi wa uchafu ni moja ya effect ya maamuzi haya. Nadhani ni vema angefikiria kupunguza hiyo damping spectrum hata kufikia miaka mitano badala ya kupanua. Kwangu bado ni envirohmental disaster.
 
unaipongeza kwa lipi wakati aliuependekeza miaka nne ni iyoiyo gvment? baada ya kushindwa kutetea hoja yake imesalenda?
 
Hivi ni Watanzania wangapi wana afford kununua gari yenye umri wa miaka nane?
Waiulize N B C Bank walivyo lizwa kwenye mikopo ya magari ya biashara.
 
wakati serikali inafanya maamuzi haya ifikirie pia kupanua madampo, kuongeza uwingi wa uchafu ni moja ya effect ya maamuzi haya. Nadhani ni vema angefikiria kupunguza hiyo damping spectrum hata kufikia miaka mitano badala ya kupanua. Kwangu bado ni envirohmental disaster.
..

Watanzania wachache wenye uwezo wa kununua magari ya 2008 mpaka hapa tulipo...si mabaya sana haya yenye miaka 10 kushuka chini...usafiri wa hapa bongo (Dar) ni mbovu sana hivyo tukipata visenti tunanunua magari si kwa kupenda...
 
unaipongeza kwa lipi wakati aliuependekeza miaka nne ni iyoiyo gvment? baada ya kushindwa kutetea hoja yake imesalenda?
..\
Naiongeza kwa kuwa sikivu...mangapi yamepandishwa na hayajashushwa?
 
Back
Top Bottom