Namshukuru Waziri wa Fedha kwa kuwaingiza wasanii kwenye wigo wa kodi.

mwakajila

Senior Member
Apr 2, 2012
188
29
Jana katika kipindi cha kusikiliza mapendekezo ya bajeti Waziri wa Fedha alisema kazi za wasanii zitapitia kwenye mikono ya TRA hii ni hatua kubwa sana ya kuwaingiza hawa wasanii wetu kwenye wigo huu wa kodi ili nao wachangie katika Pato la Taifa Letu..Napenda kumshauri Mh.Waziri kwamba bado kuna hela wanazopata kwenye shoo zao nazo ni Muhimu katika kuchangia Pato la Taifa.

Nawasilisha.
 
Wanakwendaje kukukusanya kodi kwa watu wasio rasmi?
Kwanza serikali ilipaswa kuirasmisha sekta ya burudani,
na wasanii wote kusajiriwa, pili itengeneze miundombinu
ya kimasoko kwa kazi za wasanii ndipo waje kukusanya
kodi. Wanakusanyaje pasipo kupanda? Hivi wanaiunua nguvu
ya soko la filamu na muziki ilivyo?...
 
Back
Top Bottom