Chanzo kingine cha mapato kwa serikali hiki hapa...

mwakajila

Senior Member
Apr 2, 2012
188
29
Waheshimiwa wabunge wana allowance in total amounting to 5,000,000/= ambazo hazitozwi kodi...Well kwanini waheshimiwa msifikirie kutoza Kodi kwenye hizi allowance kama kweli mna nia ya kutusaidia sisi wananchi?.

Mfano 5,000,000/= kodi yake ni 1,396,500*356(Idadi Ya wabunge)=497,154,000/= hii ni makusanyo kwa mwezi mmoja kwa mwaka Je?Waheshimiwa wabunge tunaomba mtusaidie katika hili kama kweli mna Uzalendo!!!!
 
Hizo wanazolipwa wanaona haziwatoshi kwa uroho wa pesa walionao, leo uwashauri kuzipunguza!
 
Hivi kwanini wengine tulipe PAYE (almost 30%) na wao wasamehewe!
Watz tuache kunywa pombe, vinywaji baridi na kuvuta fegi tuone kama wataendelea kuwapa posho bila ya makato.
 
Back
Top Bottom