Search results

  1. D

    The best engineers

    Engineering ni feature nzuri sana hakuna nchi iliyoendelea au itakayoendelea bila kuwa na ma-engineer wazuri especially civil engineers(huyu ndio father of engineering) lakini kwa hapa kwetu vyuo vyetu bado vinamapungufu makubwa mno!! Vyuo vyote naona almost viko sawa tu hapa bongo!!
  2. D

    For JamiiForums Mobile users

    thanks guy
  3. D

    Mliochaguliwa SAUT Mwanza,here‘s the guide!!

    ahsante kwa info mkuu lkn vp kwa kozi za engineering practical zpo za kutosha? vp walimu ni waukweli au wababaishaji?
  4. D

    Umechaguliwa chuo gani? Je kimekuridhisha?

    civil eng SAUT nimeridhika nayo coz ndo ilikuwa 1st choice yangu
  5. D

    jamani nishakosa chuo

    hv kuna kukosa chuo hapa tena baada ya kuandikiwa ADMITTED?
  6. D

    ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

    hv kuna m2 hajapewa hyo WARNING kweli? plz kama yupo ajitokeze 2cje kulia baadae tena!!
  7. D

    Wasiochaguliwa tcu

    atleast stress imedrop kumbe n 4all! xo 2subili kuona majina ya hao wanaotakiwa kufanya 2nd round application
  8. D

    Wasiochaguliwa tcu

    aka kaujumbe kapo kwenye a/c yangu DEAR APPLICANTS 2nd ROUND APPLICATION IS OPENED cjui ndo npo out of 1st selection!?
  9. D

    Selection upload TCU

    mbona INDUSTRIAL ENG haipo kwenye hzo selection guys
  10. D

    Tayari!

    Hakuna kitu chakushangaza kozi yangu moja haipo!
  11. D

    2015 Mpeni nchi Profesa LIPUMBA.

    Sijui kwanini wafuasi wa lipumba humpamba kwa hoja moja tu eti ni msomi hv wasomi wako wangapi nchi hii? Lipumba mwenyewe ana uhakika kuwa hawezi kuwa rais wa TZ lkn sielewi ni kwanini aendelee kuung'ang'ania!?
  12. D

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    hzo fedha anazotoa ni za halali au za wizi? kibaya ni kutumia kodi ya mnyonge kujinufaisha wewe na familia yako..!!
  13. D

    Taifa stars vs Mozambique.

    duh tumechapwa nn?
  14. D

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    John mnyika
  15. D

    Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

    hakuna comb gumu bali kuna vichwa vigumu na vyepesi wenye vichwa vyepesi ndio wale wanaosoma pcm pgm&pcb na kufaulu vzr
  16. D

    Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

    hakuna comb gumu bali kuna vichwa vigumu na vyepesi wenye vichwa vyepesi ndio wale wanaosoma pcm pgm&pcb na kufaulu
  17. D

    nina div 3 point 13 pcm naweza kupata chuo?

    vp kwa matokeo kama hayo bt kuna F ya GS kuna mkopo hapo? kwa kozi za engineering
  18. D

    Mikopo elimu ya juu

    hv itakuwa rahisi kweli kwa watoto wa wakulima halisi kupata elimu ya juu?ndo 2seme serikali imefilisiwa na wenye mabavu
  19. D

    Kiongozi anayehamasisha vurugu hatufai

    maranyingi penye haki na usawa hapakosi amani think big!
  20. D

    Madenti Vs Mwalimu

    haooooh!!wameumbuka!!dah
Back
Top Bottom