Umechaguliwa chuo gani? Je kimekuridhisha?

Beta mmepata chuo,muende mkasome kwa bidii sana . jukwaa litapanda hadhi sasa maana ooh.....
 
bsc in chemcal and procsn eng @ udsm.1 choice yangu ndo hiyo na nimdpata hiyohiyo namshukuru mwenyezi MUNGU nimeridhika pamoja sana jf
 
Baf-iu. Facult nimeipenda ila chuo cina info zake za kutosha kama location.
Its my 4th choice.
 
Bsc in social protection ckurdhka na udcteta wao kwani cjaichaguwa kwann wanpe! Bora waajir wachina kurekebsha system lao bovu!
 
hahahaha peace sana...nafurahi kuwa engineer mtarajiwa!!!! irrigation and water resourses engineering pale sua...it was ma 2nd choice...nimeridhika 100%!!!! pamoja sana JF!!!
 
Back
Top Bottom