Mikopo elimu ya juu

JADA

Member
Oct 14, 2008
10
1
Imesikitisha sana kusikika fununu za kunyimwa mikopo kwa wanachuo kwa kozi mbalimbali za sayansi licha ya kipaumbele kilichokuwa kimewekwa na serikali hapo awali.......... wadau mnazungumziaje hili suala, ntawapa fununu zaidi...... siasa kwenye elimi ni uozo usiovumilika jamani
 
hili tatizo la mikopo ni kama janga la ukosefu wa umeme wa kuaminika nchini.
 
Inasikitisha sana,cjui madogo wataishije vyuon kwa kweli.
 
hv itakuwa rahisi kweli kwa watoto wa wakulima halisi kupata elimu ya juu?ndo 2seme serikali imefilisiwa na wenye mabavu
 
Sasa Tz tumebaki tukiishi kama nchi ya kusadikika tu kwani hakuna kinachofanyika kwani kila kitu kimekaa shagala bagala
 
Hili tatzo kwa upande wangu lilinisabbisha nisisome Medicine ikabdi niende koz zingne kisa eti serikali haina hela, na huku hela zingne wanafanyia tu matumzi yasiyo ya lazma.
 
Back
Top Bottom