PCB ni mwisho wa matatizo.
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK
kombi ndio kitu gani??
na pgm bdo nini?
hkl n mwisho!!
PCB ni mwisho wa matatizo.
Physics nilipata A, Geography nilipata A, BAM nilipata A......ILA NIMEGUNDUA KOMBI NGUMU NI 'MAISHA'...!
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK
Msanii tu huyu mkuu hakuna bam kwenye PGM
Hiyo sayans unayoisema nimeisoma mpaka form 4 na nilifaulu, advance nimesoma economics, maths na geography, unajua PGM wanachukua vilaza, mtu ana D D D au C D D, anasoma PGM kwanini asilambe 4 au zero? Hata mkisema physics ngumu, huyo mtu kwanini asifaulu Maths na Geography?mkuu ulfkaa advance.! Je 4m3 uliendelea kuchukua science.? Kama yote sawa taja jna lashule ulzosoma.