Taifa stars vs Mozambique.

Mozambique wameshinda 8-7 kwa penalties. Vijana walipigana kiume na hadi dk. 90 ilikuwa 1-1
 
Mozambique wameshinda 8-7 kwa penalties. Vijana walipigana kiume na hadi dk. 90 ilikuwa 1-1

kiume ndo nini sasa, huo ndo upumbavu wetu watanzania gutimu gumefungwa unasifia eti walipigana kiume,. Tulivo mazezeta tutaenda kulipokea litimu bovu limetolewa uwanja wa ndege,.
 
Back
Top Bottom