Search results

  1. W

    Samsung galaxy tablet 2.10.1 inatafutwa!

    salaam wana jamii natafuta kama kuna mtu ana samsung galaxy 2.10.1,nilikuwa natafuta hata second hand.hushauri pia unaitajika. asanteni sana
  2. W

    Msahada wa mayob accounting package version 13 paka 20!!!

    salaam wana jamii tafadhali naomba msaada wenu wanajamii kama kuna mdau anawezakuwa na software ya Myob accounting package kuanzia version 13 paka 20.nimetafuta kwenye internet lakini sipati na crack au serials nashukuru sana kwa msaada asante
  3. W

    Form two chemistry and physics syllabus-msaada tafadhali!!

    Salaam wana Jamii. naomba msaada wenu,natafuta syllabus ya chemistry na Physics form two.nimempeleka mtoto wangu Canada natakiwa kupeleka syllabus za haya masomo next week ili waweze kujuwa darasa gani linamfaa kwa system ya huko.kwa sasa nipo pia canada. tafadhali naomba msaada wenu jamani...
  4. W

    Hp pavilion dv6 problem

    salaam,nimepata shida na laptop yangu ya Hp pavilion dv6,nikiwasha kuna taa mbili ya Num lock na Caps lock ndio zinawaka lakini screen haiwaki inakuwa nyeusi tu.hizi caps lock na Num lock zina blink continously bila laptop kuwaka au ku display. msahada tafadhali
  5. W

    Cpa past papers

    Salaam wana jamii,naomba kama kuna mtu anajuwa link ya ku download past papers za NBAA tanzania au sehemu yeyote ya kupata hizi past papers module E asanteni
  6. W

    Viwango vya mshahara-msahada wa haraka!

    salaam, naomba kujuwa kwa aliye na documents ambayo inaonesha mshahara wa mtu kutokana na elimu aliyo kuwa nayo hapa Tanzania.nataka kumwajiri mtu sasa nilikuwa nataka kujuwa nimwanziye wapi kutokana na elimu aliyo kuwa nayo. asanteni sana kwa msahada
  7. W

    Cpa syllabus!!

    Hello wana Jamii, please anyone with the NBAA syllabus(recently one),please advise on this.....
  8. W

    Msaada mgambo jkt

    samahani wakuu,nime post sehemu ambayo siyo kutokana section ya sport papo tupu naomba msaada wa haraka wa logo ya mgambo jkt footbal club asante na samahani
  9. W

    Buy cheap timbers

    salaam, nauza mbao aina zote kwa bei nafuu.nipo iringa naomba tuwasiliane
  10. W

    Buy cheap timbers in a bulk size!

    Hi, we deal in production and processing of timbers in a variety of size here Iringa-Tanzania.currently we are looking potential buyers,our price is distinguishable from other sellers.currently we have a bulk stock of timbers. please inbox me for more information.
  11. W

    Timbers dealer from iringa!

    salaam wana jamii, mimi ni mpasuaji mbao hapa iringa,natafuta wateja wa kununuwa mbao size zote. bei zangu ni nzuri. tafadhali tuwasiliane hapa 0653 346 289 asante sana
  12. W

    subsistence allowance kazini

    salaam wana jamii naomba kujuwa kuhusu pesa ya kujiki,u wakati unapo ajiliwa,mimi nimeajiriwa hivi karibuni nataka kujuwa sheria inazungumziaje kuhusu haya malipo.nitalipwa pesa yote ya mwezi kama pesa ya kujikimu wakati naanza kazi au siku 14 au 7? naomba msaada na kufungu cha sheria asanteni
  13. W

    Msaada wa haraka unaitajika hapa-pre-md programme bugando !

    salaam! naomba kujuwa hii programme ya PRE-MD PROGRAMME hapo bugando. kama kuna mwana jamii ana number za wadau hapo chuo itakuwa pouwa,mobile number tafadhali!
  14. W

    Msaada financial management by khan

    salaam! naomba kwa yeyote ambaye ana softcopy ya financial management by KHAN thanks in advance
  15. W

    Msaada Vyuo India au Malasiya!

    Salam naombeni msaada wa chuo chochote nchini India au Malasiya cha Bachelor in computer engineering. Tafadhali kiwe na bei nafuu kwa mtanzania kama mimi. Mchango wenu jamani nautegemea.Pia na ushauri
  16. W

    Msaada tutani..(Kuweweseka usiku)

    Salaam. Kuna jamaa yangu,huwa kira mara usiku anaongea wakati amelala. Mara kuna siku alishutuka na kuruka kitandani. Naombeni kujuwa tatizo ni nini? Asanteni
  17. W

    Msaada wa haraka"COMPUTER ENGINEERING" india

    Jamani naomba msaada wa haraka. Nina dogo wangu nataka nimpeleke india kusoma Bachelor ya computer engineering,kwasababu anauweza.One of his project www.Nitafute.In naombeni msaada kuhusu chuo kizuri na affordable huko india. Asanteni
  18. W

    Msaada Uchaguzi wa chuo

    Mimi nimemaliza A level 2012 February, naomba mtu anayejua chuo cha Malaysia, India ama Singapore ambacho sio chuo bubu cha Medicine, a recomend hapo kwenye comments address ya chuo.
  19. W

    Jamani natafuta universities in india,singapore na malasya!!!

    Salaam wadau. natafuta kujiunga na chuo kizuri cha MEDICAL india,malasya au songapore chenye bei pouwa. naomba msaada jamanai its urgently thanks in advance:frusty:
Back
Top Bottom