siri ni moja hakuna maendeleo bila elimu kwani hufungua macho watu; soma hapa utajua ninachomaanisha The Most Educated Countries in the World - Yahoo Finance; swali linakuja kwa mlio maofisini pengine mnaona uwiano; sasa mjaribu kukokotoa ulinganifu ndio mtaona jibu kamilia na pia muende vyuoni...
ccm ni analogia hamieni digital kikubwa watanzania wenzangu ni kukomboa taifu na kukubali sera ya kubadilishana vijiti na hilo ndilo jibu la ukombozi nchini kwani atakaye ingia atawajibika vilivyo saipofanya basi serikali ijayo italazimu kumshitaki na kuwafunga hao wasaliti
kimataifa unaweza kufikiria nini kinachokuja tanzania nini haswa taswira ya mikutano kama hii si pingi ila napenda kuona mageuzi makubwa lakinini mchango wako
zikiwa zimepita kesi wakaza za kupinga ushindi wa upinzani watanzania tunabaki tunajiuliza nini hasa uwasukuma hawa mabwana kuenda mhakamani na kupoteza hela je ni kuvuruga concentratio ya public au
inasikitisha sana unapopita saa mbili na nusu au zaidi nakuwakuta eti wanasubiri mabasi enzi zangu bana kumi na moja ndio ulikuwa muda muafaka sasa yanini leo saa mbili na nusu asubuhi ndio mda muafaka hawapendi shule na ndio maana kufeli kumeongezeka wanawaza viduku tuu na sio njia zipi kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.